-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 29, 2020 23:48Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uhusiano mzuri wa Iran na Afghanistan katika kivuli cha mawasiliano endelevu
May 29, 2020 04:53Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulika masuala ya sheria amesema kuwa, ili kuzuia magendo ya binaadamu na safari haramu, Tehran imetiliana saini makubaliano mapya na serikali ya Afghanistan.
-
Marekani yaondoa misamaha ya nyuklia ya Iran
May 28, 2020 21:52Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo Mei 8 2018, ilianza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran. Vikwazo hivyo vya upande mmoja ni ukiukwaji wa wazi wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Meli ya nne ya mafuta ya Iran yaingia katika maji ya Venezuela
May 28, 2020 05:37Meli ya nne ya mafuta ya Iran imewasili katika Eneo Mahsusi la Kiuchumi Baharini (EEZ) kwa lengo la kufikisha mafuta ya petroli na dizeli katika nchi hiyo inayokabiliwa na vikwazo vya Marekani.
-
Iran yapeleka Denmark mashine za kuzalisha barakoa
May 28, 2020 03:27Makamu wa Rais wa Iran wa Masuala ya Sayansi na Teknolojia amesema Jamhuri ya Kiislamu imepeleka nchini Denmark mashine za kuzalisha barakoa za kujikinga virusi vya corona.
-
Mohammad Bagher Ghalibaf achaguliwa kuwa Spika mpya Bunge la Iran
May 28, 2020 02:52Mohammad Bagher Ghalibaf ndiye spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Zoezi la kumchagua spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu limefanyika leo asubuhi.
-
Alkhamisi, tarehe 28 Mei, 2020
May 27, 2020 23:16Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Shawwal 1441 Hijiria, sawa na tarehe 28 Mei 2020 Miladia.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu
May 27, 2020 21:53Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 11:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.
-
Rais wa Iran aidhinisha sheria ya kukabili jinai za Israel
May 26, 2020 23:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameidhinisha kuwa sheria, muswada wa kukabiliana na uhasama na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.