-
Jumapili, Septemba 15, 2019
Sep 14, 2019 22:03Leo ni Jumapili tarehe 15 Mfungo Nne Muharram 1441 Hijria, sawa na 15 Septemba 2019 Miladia.
-
Sekta ya mafuta ya Iran inaendelea kustawi licha ya vikwazo vya Marekani
Sep 14, 2019 07:09Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sekta ya mafuta na gesi ya taifa hili inaendelea kustawi na kuimarika licha ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
-
Marekani: Sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran zitaendelea
Sep 13, 2019 03:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema, mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yataendelea.
-
Meja Jenerali Salami: Mashinikizo ya maadui hayawezi kuipigisha magoti Iran
Sep 12, 2019 22:08Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, taifa la Iran limedhihirisha kuwa lina nguvu kuliko vikwazo na katu haliwezi kupigishwa magoti na mashinikizo ya maadui.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala
Sep 11, 2019 03:05Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi kwa serikali ya Iraq na familia za Mashahidi kufuatia tukio la kufa shahidi makumi ya watu katika mji mtakatifu wa Karbala.
-
Iran: Hatufanyi mazungumzo na Marekani iwapo wanaendeleza ugaidi wa kiuchumi
Sep 11, 2019 02:59Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema ni jambo lisilowezekana kwa Jamhuri ya Kiislamu kufanya mazungumzo na Marekani madhali serikali ya Washington inaendeleza ugaidi wa kiuchumi na kuliwekea vikwazo taifa hili.
-
Zarif amwambia Trump, kaulimbiu ya Netanyahu ni: Tutapigana vita hadi askari wa mwisho wa Marekani
Sep 10, 2019 22:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemtumia ujumbe wa Twitter Rais Donald Trump wa Marekani akisema: Kaulimbiu ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu ni: Tutapigana vita hadi atakapobakia askari wa mwisho kabisa wa Marekani.
-
Muhuri wa IAEA wa kuunga mkono makubaliano ya JCPOA na mchezo mpya wa maigizo wa Netanyahu
Sep 10, 2019 06:09Baada ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomikia (IAEA) kutoa ripoti yake mpya inayotathmini hatua za Iran katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameibuka tena na kudai kuwa, miradi ya nyuklia ya Iran ni ya kijeshi na kwamba, eti taifa hili linataka kutengeza bomu la atomiki.
-
Russia: Hatua ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA si tishio
Sep 10, 2019 03:30Russia imesema kuanza kutekelezwa na Iran hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA si tishio, na kitendo hicho kinafuata miongozo ya mapatano hayo ya kimataifa.
-
Nasrullah: Hizbullah na Iran haziwezi kuyumbishwa na mashinikizo
Sep 10, 2019 02:47Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitaendelea kusimama kidete dhidi ya mashinikizo na vikwazo vya Marekani.