-
Balozi wa Iran UN: Donald Trump si mtu wa kuaminika
May 10, 2019 03:17Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amejibu madai ya rais wa Marekani kuhusu mazungumzo na Iran na kusema: "Donald Trump si mtu wa kuaminika".
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'
May 09, 2019 23:26Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hutua mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka huo huo.
-
Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu maamuzi ya Iran, matarajio ya kulindwa JCPOA bila kutolewa fursa
May 09, 2019 02:47Mapatano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA yalifikiwa mjini Vienna mwezi Julai 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1, huku utekelezaji wake ukiwa ulianza mwezi Januari 2016.
-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu
May 08, 2019 02:32Utawala wa Marekani ndio unaoshikilia rekodi ya kuziwekea nchi nyingine vikwazo tofauti tofauti.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela: Inatupasa kujifunza kutoka Iran
May 07, 2019 20:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela sambamba na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika uga wa kijeshi na nishati kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Caracas inapaswa kujifundisha masomo mengi kutoka Iran.
-
Afisa wa zamani wa Marekani: Serikali ya Trump inaficha ukweli wa nafasi muhimu ya Iran katika kupambana na ugaidi
May 07, 2019 09:13Mshauri wa zamani katika masuala ya kimataifa nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inafanya njama za kuficha nafasi chanya na muhimu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kusimamisha mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina
May 07, 2019 03:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuchua hatua zote kuhakikisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina.
-
Iran na Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano wao wa kiulinzi
May 06, 2019 06:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimetoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa muda mrefu wa kiulinzi na kijeshi baina yao.
-
Larijan: Iran na Nigeria kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara
May 05, 2019 23:16Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mazingira yameandaliwa kwa ajili ya kuimarisha na kupanua ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Nigeria katika uga wa biashara.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havina athari za kisiasa kwa Iran
May 05, 2019 09:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote ya kisiasa kwa Jamhuri ya Kiislamu.