Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zarif: Vikwazo vya Marekani havina athari za kisiasa kwa Iran

    Zarif: Vikwazo vya Marekani havina athari za kisiasa kwa Iran

    May 05, 2019 09:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote ya kisiasa kwa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    May 04, 2019 06:38

    Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu sana katika fremu ya kulinda amani na usalama wa kimataifa; hata hivyo tarehe 8 mwezi Mei mwaka jana Marekani ilijitoa kwenye makubaliano hayo. Serikali ya Trump mwezi Agosti na Novemba mwaka 2018 katika marhala mbili iliiwekea tena Iran vikwazo vya nyuklia; na ingali inaendeleza mashinikizo ya vikwazo dhidi ya Tehran.

  • IMF: Licha ya vikwazo, Iran itakuwa na akiba ya zaidi ya dola bilioni 100 mwaka huu

    IMF: Licha ya vikwazo, Iran itakuwa na akiba ya zaidi ya dola bilioni 100 mwaka huu

    May 03, 2019 22:22

    Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetabiri kuwa, akiba ya fedha za kigeni ya Iran mwaka 2019 itapindukia dola bilioni 100 licha ya kuweko vikwazo vya pande zote vya Marekani dhidi ya taifa hilo.

  • Shirika moja la Afrika Kusini: Hatufungwi na mipaka yoyote katika kushirikiana na Iran

    Shirika moja la Afrika Kusini: Hatufungwi na mipaka yoyote katika kushirikiana na Iran

    May 03, 2019 09:52

    Mkurugenzi mmoja wa mauzo wa shirika la JDA la Afrika Kusini amesema kuwa, licha ya kuweko vikwazo dhidi ya Tehran, lakini hakuna mipaka yoyote inayokwamisha ushirikiano wa moja kwa moja baina yake na mashirika mbalimbali ya Iran.

  • Zarif: Sidhani vita baina ya Iran na Marekani vinakaribia, lakini...

    Zarif: Sidhani vita baina ya Iran na Marekani vinakaribia, lakini...

    May 03, 2019 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema hadhani vita baina ya Iran na Marekani vinakaribia lakini ametahadharisha kuwa, kuna 'ajali zinazoweza kutokea' na kubadilika kuwa makabiliano ya kijeshi.

  • Iran yalaani jaribio la Marekani la kutaka kuipindua serikali ya Venezuela

    Iran yalaani jaribio la Marekani la kutaka kuipindua serikali ya Venezuela

    May 02, 2019 23:27

    Iran imelaani jaribio la hivi karibuni la Marekani la kutaka kuipindua serikali halali ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.

  • OPEC: Ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia

    OPEC: Ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia

    May 02, 2019 09:10

    Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC) amesema ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la kimataifa na kwamba shirika hilo linafanya juu chini kuhakikisha kuwa siasa haziingizwi katika biashara ya mafuta.

  • Kusimamishwa uuzaji wa mafuta ya Iran, ni ukweli au ndoto?

    Kusimamishwa uuzaji wa mafuta ya Iran, ni ukweli au ndoto?

    May 02, 2019 07:30

    Waziri wa Mafuta wa Iran amesema, hata kama kukatwa kabisa na kufikishwa katika kiwango cha sufuri uuzaji nje wa mafuta ya Iran ni matarjio ya Marekani na nchi mbili jirani na Iran, lakini jambo hilo halitekelezeki kivitendo.

  • Kama si Iran leo Iraq na Syria zingekuwa zimegawanyika vipande vipande

    Kama si Iran leo Iraq na Syria zingekuwa zimegawanyika vipande vipande

    May 02, 2019 03:29

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asema uthabiti na usalama katika eneo umepatikana kwa gharama kubwa na kuongeza kuwa: "Kama si ushirikiano wa kujitolea wa Iran, leo Iraq na Syria zingekuwa zimegawanyika vipande vipande mikononi mwa waovu na maadui wa amani na usalama."

  • Kamati ya Nyuklia ya Iran: Tutajiondoa NPT, JCPOA iwapo tutaendelea kuwekewa vikwazo

    Kamati ya Nyuklia ya Iran: Tutajiondoa NPT, JCPOA iwapo tutaendelea kuwekewa vikwazo

    May 01, 2019 03:07

    Mwenyekiti wa Kamati ya Nyuklia ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema iwapo taifa hili litaendelea kukabiliwa na vikwazo, basi Tehran itajitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Atomiki (NPT) sambamba na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS