Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rais Rouhani asaini sheria ya kuitambua CENTCOM ya Marekani kuwa kundi la kigaidi

    Rais Rouhani asaini sheria ya kuitambua CENTCOM ya Marekani kuwa kundi la kigaidi

    Apr 30, 2019 22:41

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesaini kuwa sheria, muswada wa kuwatambua wanajeshi wote wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM) na vikosi vyote vinavyofungamana nao kuwa kundi la kigaidi.

  • Jumatano, Mosi Mei, 2019

    Jumatano, Mosi Mei, 2019

    Apr 30, 2019 21:59

    Leo ni Jumatano tarehe 25 Sha'aban 1440 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Mei 2019 Miladia.

  • Pompeo atoa vitisho dhidi ya wanunuzi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Pompeo atoa vitisho dhidi ya wanunuzi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Apr 30, 2019 02:47

    Kufuatia radiamali hasi ya kimataifa kuhusiana na vikwazo vipya vya mafuta vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kwa mara nyingine tena amewatishia wanunuzi wa mafuta ya nchi hii.

  • Jumanne, 30 Aprili, 2019

    Jumanne, 30 Aprili, 2019

    Apr 29, 2019 23:39

    Leo ni Jumanne tarehe 24 Sha'aban 1440 Hijria mwafaka na tarehe 30 Aprili 2019 Miladia.

  • IMF: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinavuruga ukuaji wa uchumi katika eneo

    IMF: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinavuruga ukuaji wa uchumi katika eneo

    Apr 29, 2019 02:24

    Mfuko wa Fedha Duniani (IMF) umesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimedumaza ukuaji wa uchumi katika eneo la Asia Magharibi.

  • Marekani ni hatari kubwa kwa mustakbali wa dunia

    Marekani ni hatari kubwa kwa mustakbali wa dunia

    Apr 29, 2019 02:01

    Mwanafikra wa Kiislamu kutoka visiwa vya Komoro amesema kuwa Marekai imehatarisha usalama wa dunia kutokana na siasa zake mbovu za kuingilia mara kwa mara mambo ya ndani ya nchi nyingine.

  • Ulimwengu wa Michezo, Apr 29

    Ulimwengu wa Michezo, Apr 29

    Apr 29, 2019 00:59

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....

  • Jumapili, tarehe 28, 2019

    Jumapili, tarehe 28, 2019

    Apr 28, 2019 23:46

    Leo ni Jumapili tarehe 22 Sha'ban 1440 Hijiria, sawa na tarehe 28 Aprili 2019 Miladia.

  • "Iran ni mpiganiaji mkubwa wa umoja wa nchi za Kiislamu"

    Apr 28, 2019 11:37

    Mtaalamu mmoja wa ulimwengu wa Kiislamu kutoka Nigeria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima iko mstari wa mbele katika kupigania umoja na mshikamano baina ya nchi za Kiislamu.

  • Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu laanza Tehran

    Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu laanza Tehran

    Apr 28, 2019 02:40

    Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu katika Dira ya Mwaka 2035 limeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, kwa kuwaleta pamoja wanazuoni na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS