-
Iran: Amani ya kudumu itapatikana kwa kutamatishwa ukaliaji wa mabavu wa adhi za Palestina
Mar 30, 2019 03:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka mmoja ya Maandamano ya Wapalestina ya "Haki ya Kurejea" yaliyoanza rasmi tarehe 30 Machi mwaka jana 2018.
-
Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani
Mar 30, 2019 02:56Marekani ina historia ndefu na mbaya zaidi ya kutumia vikwazo dhidi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuendeleza malengo yake ya kibeberu. Kwa kweli viongozi wa ngazi za juu wa Marekani wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya nchi nyingine ndio wenzo bora kwao wa kuweza kufanikishia malengo yao.
-
Iran: 'Siku ya Ardhi' ni nembo ya mapambano dhidi ya ukaliaji ardhi kwa mabavu wa utawala wa Kizayuni
Mar 29, 2019 21:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kusema: "Siku ya Ardhi" katika historia na utamaduni wa muqawama na mapambano ya Wapalestina ni nukta ya msingi ambayo imekuwa na nafasi muhimu katika kuendelea kuhuisha mapambano mbele ya ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Brian Hook na ndoto ya alinacha ya kuizuia kikamilifu Iran isiuze mafuta yake
Mar 29, 2019 21:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, enzi za Marekani kutoa amri kwa nchi zingine ili kufanikisha matashi yake yaliyo dhidi ya ubinadamu na matakwa yake maovu na ya ubinafsi, hivi sasa hazipo tena.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Jamhuri ya Kiislamu inatokana na mapinduzi makubwa ya Kiislamu
Mar 29, 2019 11:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatokana na mapinduzi makubwa ya Kiislamu."
-
Iran yatahadharisha: Israel inaunda muungano na magaidi
Mar 29, 2019 11:31Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetahadharisha kuwa, utawala ghasibu wa Israel, ambao unatoa uungaji mkono kwa magaidi nchini Syria, unaweza kuunda muungano na magaidi hao iwapo tishio lao halitashughulikiwa ipasavyo.
-
Igizo jengine la Pompeo la uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran
Mar 29, 2019 00:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameifufua tena kampeni ya uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran kwa kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu kwa kile alichodai, nafasi haribifu iliyonayo katika eneo la Magharibi ya Asia na kuunga mkono ugaidi.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 25
Mar 28, 2019 11:01Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa mfuatiliaji wa masuala ya spoti na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.
-
Qassemi: Marekani ifahamu haiwezi kupora utajiri wa Iran
Mar 28, 2019 03:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria hukumu ya Mahakama ya Luxembourg ambayo imekataa ombi la Marekani la kuchukua udhibiti wa mali za Benki Kuu ya Iran na kusema: "Marekani inapaswa kufahamu kuwa, kwa kutumia hadaa haiwezi kupora utajiri na milki za Wairani.
-
"Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni sera ya pamoja ya Marekani na Utawala wa Kizayuni
Mar 25, 2019 07:57Jitihada za kushadidisha "Chuki dhidi ya Iran" (Iranophobia) ni ajenda daima ya sera za pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel. Maudhui hii ni moja kati ya ajenda muhimu ambazo Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anafuatilia katika safari yake nchini Marekani.