-
Araqchi: Uhusiano wa Iran na Algeria uko imara, ni wa kihistoria
Apr 10, 2025 12:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Algeria ni nchi kubwa na yenye taathira katika Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba uhusiano kati ya nchi hiyo na Iran ni mkubwa, imara na wa siku nyingi.
-
Kuidhinishwa makubaliano ya pande zote baina ya Iran na Russia katika Duma kuna umuhimu gani?
Apr 10, 2025 02:49Bunge la Duma la Russia Jumanne (Aprili 8) liliidhinisha Mkataba wa Ushirikiano Kamili wa Kimkakati kati ya Russia na Iran.
-
Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman
Apr 08, 2025 06:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya "mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu" nchini Oman karibuni hivi.
-
Ukosoaji wa Iran kwa namna Magharibi inavyolitumia kisiasa suala la haki za binadamu
Apr 07, 2025 07:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi yake na kueleza kwamba kulitumia kisiasa suala la haki za binadamu ni sababu muhimu ya kupoteza imani kwa taasisi hiyo na imesisitiza kuwa, nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ghaza hazina ustahiki wa kutoa madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Mkuu wa Wakala wa Nishati ya Atomiki wa UN: Iran haina silaha za nyuklia
Apr 06, 2025 06:34Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, amekariri madai ya kisiasa anayotoa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Tehran; na pamoja na kueleza kwamba ijapokuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina akiba kubwa ya urani iliyorutubishwa lakini haina silaha za atomiki, ametaka kuharakishwa mchakato wa kutatua masuala ya usimamizi wa mradi wake wa nyuklia.
-
Iran: Vitisho vya US vinakinzana na wito wake wa diplomasia
Apr 06, 2025 02:59Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo lakini "katika mazingira ya usawa."
-
Rais wa Iran amfuta kazi Makamu wake kwa 'safari ya ubadhirifu'
Apr 05, 2025 09:37Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati wa sherehe za mwaka mpya wa Kiirani (Nowruz), iliyojaa ubadhirifu.
-
Kuwa tayari Iran kuimarisha ushirikiano na nchi za eneo
Apr 04, 2025 10:27Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na wakuu wa baadhi ya nchi za eneo na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na ushirikiano na nchi hizo katika nyanja mbalimbali kwa mujibu wa imani na itikadi za Kiislamu.
-
Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yanaweza kukomesha jinai za Israel
Apr 03, 2025 11:38Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema umoja na mshikamano miongoni mwa mataifa ya Kiislamu unaweza kuwa chachu ya kukomeshwa jinai za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel
Apr 03, 2025 07:07Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; hususan katika sikukuu za Idul-Fitri, na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki zinazofanywa na utawala huo ghasibu.