-
IRGC: Saudia ndiyo roho ya maovu yote Mashariki ya Kati
Feb 19, 2019 12:22Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema Saudi Arabia ndiyo roho ya maovu yote katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kote kwa ujumla.
-
Iran yatuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha katika ajali mgodini Zimbabwe
Feb 19, 2019 04:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salama za rambirambi na kutoa mkono wa pole kwa serikali, wananchi na familia za wahanga wa ajali ya mgodini huko Zimbabwe.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari
Feb 19, 2019 03:57Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu asubuhi mjini Tehran alikutana na kundi la wananchi kutoka katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki wa kaskazini magharibi mwa Iran na kusema mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 18
Feb 18, 2019 03:44Hujambo mpenzi msikilizaji wa na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa...
-
Iran yazindua nyambizi mpya yenye makombora ya cruise
Feb 17, 2019 23:03Rais Hassan Rouhani wa Iran amezindua nyambizi ya kisasa iliyoundwa hapa nchini ambayo ina uwezo wa kusheheni makombora ya cruise.
-
Mkuu wa al Hashdu al Sha'abi: Iran imeisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya Daesh
Feb 17, 2019 23:02Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al Hashdu al Sha'abi na Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq amesema kuwa Iran ni nchi pekee ambayo iliisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Ulaya yasisitiza tena kulinda makubalino ya nyuklia ya JCPOA
Feb 16, 2019 10:09Licha ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuwa na umuhimu mkubwa katika kudumisha amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani mwezi Mei mwaka jana ilijitoa kwenye makubaliano hayo ili kuyasambaratisha.
-
Umoja wa Ulaya wapinga takwa la Marekani la kujiondoa mapatano ya nyuklia ya Iran
Feb 16, 2019 04:37Umoja wa Ulaya umepinga ombi la Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ambaye amezitaka nchi za Ulaya zifuate nyayo za Marekani na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran kwa lengo la "kuitenga" Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kufeli mkutano wa Warsaw
Feb 15, 2019 10:41Baada ya propaganda kubwa za wiki kadhaa zilizofanywa na Marekani kuhusu mkutano uliokuwa dhidi ya Iran wa Warsaw nchini Poland, hatimaye mkutao huo wa siku mbili ulimaliza kazi zake jana Alkhamisi bila ya mafanikio.
-
Rouhani: Magaidi hawapaswi kuachiwa wajihisi wako salama katika kona yoyote ya dunia
Feb 15, 2019 04:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo la pamoja la nchi za Iran, Russia na Uturuki katika kupambana vilivyo na ugaidi ni kurejesha usalama na utulivu nchini Syria na kuongeza kuwa, magaidi hawapaswi kuhisi wako salama katika kona yoyote ile ya dunia.