• Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-8

    Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-8

    Nov 27, 2018 11:28

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nane ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.

  • Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran

    Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran

    Nov 27, 2018 04:26

    Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Ulaya wameliambia gazeti la Wall Street Journal kuwa huenda Ufaransa na Ujerumani zikawa wenyeji wa mfumo maalumu wa ubadilishanaji fedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaojulikana kama SPV, kwa shabaha ya kukwepa vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran.

  • Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu

    Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu

    Nov 27, 2018 04:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonesha kughadhabishwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba taifa hili linanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.

  • Ulimwengu wa Michezo, Nov 26

    Ulimwengu wa Michezo, Nov 26

    Nov 26, 2018 04:24

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa habari viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa...

  • Iran ina haki ya kurutubuisha tena urani kama jibu kwa Marekani

    Iran ina haki ya kurutubuisha tena urani kama jibu kwa Marekani

    Nov 25, 2018 04:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran ina haki ya kuimarisha urutubishaji urani katika vituo vyake vya nyuklia, kama radiamali kwa hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Nov 24, 2018 08:18

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.

  • Rais Rouhani awataka Waislamu waungane kukabiliana na Marekani na Israel

    Rais Rouhani awataka Waislamu waungane kukabiliana na Marekani na Israel

    Nov 24, 2018 04:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya Waislamu kuungana na kusimama imara kukabiliana na siasa za chuki za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani

    Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani

    Nov 23, 2018 23:14

    Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu juhudi za Marekani za kutaka kuanzisha mazungumzo mapya na Iran kwa kusema kuwa, mapatano yaliyofikiwa ya JCPOA ni makubaliano mazuri na kwamba Iran haitofanya tena mazungumzo na Marekani kuhusu miradi yake ya nyuklia.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Nov 23, 2018 04:29

    Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Je, kurejea balozi wa Denmark Tehran kutakuwa mwisho wa uzushi dhidi ya Iran?

    Je, kurejea balozi wa Denmark Tehran kutakuwa mwisho wa uzushi dhidi ya Iran?

    Nov 21, 2018 04:07

    Baada ya propaganda na uzushi kuhusu madai ya kuwepo mpango wa kumuaa kinara wa tawi la Denmark la kundi la kigaidi linalojiita Al Ahvaziya, balozi wa Iran nchini Denmark ametangaza kuwa, balozi wa nchi hiyo anarejea Tehran leo Jumatano ili kuendelea na kazi zake za kawaida.