-
Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran
Nov 04, 2018 04:40Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Rais Donald Trump wa Marekani ni 'mdogo sana' kuweza kufanikiwa kulipigisha magoti taifa la Iran.
-
Zarif: Dunia yote inapinga sera hasi za Marekani dhidi ya Iran
Nov 04, 2018 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera hasi na maamuzi yanayokiuka sheria za kimataifa ya Marekani yanakabiliwa na upinzani mkubwa katika kila kona ya dunia, huku Washington ikijiandaa kuanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Tehran.
-
Iran yaanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kivita aina ya 'Kauthar' + Video
Nov 03, 2018 23:11Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza kuzalisha kwa wingi ndege ya kisasa ya kivita iliyopewa jina la 'Kauthar'.
-
Hatua za mwisho za Ulaya za kuanzisha mfumo huru maalumu wa kifedha kati yake na Iran
Nov 03, 2018 23:05Kufuatia kutangazwa duru mpya ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinatazamiwa kuanza kutekelezwa kuanzia tarehe 5 mwezi huu huku vikijumuisha sekta ya mafuta, benki na safari za meli; nchi za Ulaya zimetoa taarifa zikisisitiza kupiga hatua kubwa katika kutayarisha mfumo huo maalumu wa kifedha kati yake na Iran.
-
Iran: Kurejea vikwazo vya Marekani ni kusambaratika maadili na siasa za utawala wa Washington
Nov 03, 2018 11:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ushirikiano na nchi rafiki na kwa kutegemea uwezo wake wa ndani na kimataifa, itatumia busara na kuweza kuvuka vikwazo visivyo vya kisheria vya Marekani.
-
Novemba 4; kukaribia siku ya mtihani mgumu kwa Umoja wa Ulaya
Nov 03, 2018 04:41Siku tatu kabla ya kuanza awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Rais Hassan Rouhani alizitaka nchi za Ulaya kusimama imara kukabiliana na mielekeo ya Washington ya kujichukulia hatua za upande mmoja.
-
Ulaya yapiga hatua kubwa ya kuandaa mfumo wa kifedha kwa ajili ya Iran
Nov 03, 2018 04:23Mawaziri wa Mambo ya Nje na Fedha wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa pamoja na Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya wametoa taarifa ya pamoja kuhusiana na maendeleo makubwa waliyofikia kuhusu mfumo maalumu wa kifedha wa umoja huo kwa ajili ya Iran.
-
IMF: Iran ikabiliane na vikwazo vya kiuchumi vya Marekani
Nov 02, 2018 23:26Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umeiagiza Iran kuimarisha zaidi uchumi wake ili kukabiliana na vikwazo vya Marekani.
-
Fitina ya Mossad; Njama ya kujaribu kuvuruga uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya
Nov 02, 2018 04:20Katika kipindi cha wiki moja iliyopita na kabla ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vimetabiriwa kufeli kufuatia mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuendelea kununua mafuta ya Iran, kumeshuhudiwa njama maalumu za kujaribu kuvuruga uhusiano wa Iran na Umoja wa Ulaya.
-
Netanyahu: Ni kweli Israel imehusika na njama za kuvuruga uhusiano wa Iran na EU
Nov 02, 2018 04:11Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, Tel Aviv imehusika katika wimbi la hivi karibuni la upotoshaji, hadaa na tuhuma za urongo zinazozushwa na baadhi ya nchi za Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.