-
Uganda na Iran kuimarisha ushirikiano katika uga wa sayansi na teknolojia
Oct 05, 2018 12:08Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Uganda ametoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa sayansi na teknolojia.
-
Kupindisha ukweli Katibu Mkuu wa NATO na hila ya kutaka kuitupia mzigo wa lawama Iran
Oct 05, 2018 11:50Mtazamo wa kizandiki na kindumakuwili wa Magharibi kwa matukio ya eneo la Magharibi ya Asia hautabadilisha ukweli wa mambo wa yale yanayojiri katika eneo hili; na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo ni nchi athirifu itaendelea kutoa mchango wake chanya katika uwanja huo.
-
Iran yamjibu Katibu Mkuu wa NATO: Sera hatarishi za Marekani ndizo za kutia wasiwasi zaidi
Oct 04, 2018 03:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, inapasa Katibu Mkuu wa NATO awe na wasiwasi zaidi kutokana na siasa na sera hatarishi za Marekani za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja na kutotekeleza mwanachama huyo wa NATO majukumu yake ya kimataifa.
-
Iran na Uganda zasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika elimu na teknolojia
Oct 03, 2018 10:49Makamu wa Rais wa Jamhuuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia na Rais wa Uganda wamesisitiza katika mazungumzo yao leo mjini Kampala juu ya umuhimu wa kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano wa pamoja kati ya pande mbili katika uga wa elimu na teknolojia.
-
Polisi wa Ufaransa wavamia kituo cha Kiislamu cha Zahraa (as) mjini Paris
Oct 02, 2018 23:11Polisi ya Ufaransa imevamia ofisi ya jumuiya ya Waislamu ya Zahraa (as) na nyumba za wanachama wa jumuiya hiyo na kuwatia mbaroni watu 11.
-
Amano ajibu madai ya Netanyahu dhidi ya Iran, asema IAEA inajitegemea
Oct 02, 2018 12:25Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki amekanusha madai yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na kusema kuwa, wakala huo unafanya kazi kwa kujitegemea na hautilii maanani madai yanayotolewa na upande mwingine.
-
UN: Kiwango cha matumaini ya kuishi nchini Iran ni sawa na cha nchi zilizoendelea
Oct 02, 2018 11:58Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Idadi ya Watu (UNFPA) umetangaza kuwa kiwango cha matumaini ya kuishi nchini Iran ni sawa na kile cha nchi zilizoendelea.
-
Zarif: Iran haitapoteza muda kufanya mazungumzo na US
Oct 02, 2018 04:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran katu haitafanya mazungumzo na Marekani madhali Washington itaendelea kukataa kukumbatia uhalisia wa mambo na muamana.
-
Jumanne, Oktoba 2, 2018
Oct 01, 2018 23:03Leo ni Jumanne tarehe 22 Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba Pili, 2018.
-
Qassemi: Msimamo wa Ulaya unakidhi maslahi ya Iran katika JCPOA
Oct 01, 2018 11:17Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kumekuwa na hali ya kukaribiana misimamo ya Iran na Ulaya kuhusiana na kukidhiwa maslahi ya Tehran baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa kifupi.