Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Meja Jenerali Suleimani: Kuanzisha vita na Iran maana yake ni kuangamia Marekani

    Meja Jenerali Suleimani: Kuanzisha vita na Iran maana yake ni kuangamia Marekani

    Jul 26, 2018 09:59

    Kamanda wa Kikosi cha Quds katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameashiria bwabwaja na vitisho vya hivi karibuni vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na kusema kuwa, kuanzisha vita na taifa hili maana yake ni kuangamia suhula zote za Marekani.

  • Ndoto ya Pompeo kuhusu kusalimu amri Iran nchi ambayo  katu haifuati matakwa ya Marekani

    Ndoto ya Pompeo kuhusu kusalimu amri Iran nchi ambayo katu haifuati matakwa ya Marekani

    Jul 26, 2018 03:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwa mara nyingine ameonyesha wazi mwelekeo ulio dhidi ya Iran wa nchi yake na kudai kuwa: "Mashinikizo ya Marekani yamebadilisha mwenendo na sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati."

  • Madai ya Donald Trump ya kuwa tayari kufikia makubaliano na Iran

    Madai ya Donald Trump ya kuwa tayari kufikia makubaliano na Iran

    Jul 25, 2018 03:48

    Licha ya kuweko uadui na uhasama wa Marekani dhidi ya Iran katika kipindi cha miaka takribani 40 tangu kuasisiwa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu, lakini katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, uadui huo ulishadidi zaidi iwe ni katika kipindi cha kampeni za uchaguzi na hata baada ya kuingia madarakani.

  • Stop the War Coalition: Vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni hatari kubwa

    Stop the War Coalition: Vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni hatari kubwa

    Jul 25, 2018 02:21

    Muungano wa kupinga vita wenye makao yake nchini Uingereza (Stop the War Coalition) umetaja vitisho vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran kuwa ni hatua hatari sana na kutoa wito wa kuimarishwa harakati ya kupinga vita kote duniani.

  • Kulegeza kamba White House kuhusiana na bwabwaja za Donald Trump dhidi ya Iran

    Kulegeza kamba White House kuhusiana na bwabwaja za Donald Trump dhidi ya Iran

    Jul 24, 2018 20:49

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imeshadidisha misimamo na hatua zilizo dhidi ya Iran.

  • White House yalegeza kamba kuhusu matamshi ya vitisho ya Trump dhidi ya Iran

    White House yalegeza kamba kuhusu matamshi ya vitisho ya Trump dhidi ya Iran

    Jul 24, 2018 03:18

    Msemaji wa Ikulu ya Marekani (White House) amelegeza kamba kuhusiana na matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.

  • Mossad yakiri kushirikiana na kundi la kigaidi la MKO kula njama dhidi ya Iran

    Mossad yakiri kushirikiana na kundi la kigaidi la MKO kula njama dhidi ya Iran

    Jul 20, 2018 09:40

    Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD limejitokeza hadharani na kukiri kuhusu ushirikiano wake na kundi la kigaidi la MKO, kupanga njama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Balozi wa Russia mjini Tehran: Uwepo wa Iran nchini Syria  ni wa kisheria

    Balozi wa Russia mjini Tehran: Uwepo wa Iran nchini Syria ni wa kisheria

    Jul 19, 2018 02:59

    Balozi wa Russia mjini Tehran, amesema kuwa uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria ni wa kisheria na kwamba, kwa utashi wa Damascus, Iran itaendelea kuwepo nchini humo katika operesheni za kuwaangamiza magaidi.

  • Iran yajenga kiwanda kipya cha rafadha za mashinepewa

    Iran yajenga kiwanda kipya cha rafadha za mashinepewa

    Jul 18, 2018 22:36

    Iran imekamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha kisasa cha kuunda rafadha za mashinepewa ili kuimarisha urutubishaji madini ya urani pasina kukiuka mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli

    AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli

    Jul 18, 2018 02:56

    Behrouz Kamalvandi, Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema Tehran iko tayari kuimarisha urutubishaji urani kwa kiwango cha juu iwapo jitihada za Umoja wa Ulaya za kuyanasuru makubaliano ya nyuklia ya Iran zitagonga mwamba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS