-
White House yalegeza kamba kuhusu matamshi ya vitisho ya Trump dhidi ya Iran
Jul 24, 2018 03:18Msemaji wa Ikulu ya Marekani (White House) amelegeza kamba kuhusiana na matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Mossad yakiri kushirikiana na kundi la kigaidi la MKO kula njama dhidi ya Iran
Jul 20, 2018 09:40Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD limejitokeza hadharani na kukiri kuhusu ushirikiano wake na kundi la kigaidi la MKO, kupanga njama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Balozi wa Russia mjini Tehran: Uwepo wa Iran nchini Syria ni wa kisheria
Jul 19, 2018 02:59Balozi wa Russia mjini Tehran, amesema kuwa uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria ni wa kisheria na kwamba, kwa utashi wa Damascus, Iran itaendelea kuwepo nchini humo katika operesheni za kuwaangamiza magaidi.
-
Iran yajenga kiwanda kipya cha rafadha za mashinepewa
Jul 18, 2018 22:36Iran imekamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha kisasa cha kuunda rafadha za mashinepewa ili kuimarisha urutubishaji madini ya urani pasina kukiuka mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
AEOI: Iran ipo tayari kuimarisha urutubishaji urani JCPOA ikifeli
Jul 18, 2018 02:56Behrouz Kamalvandi, Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema Tehran iko tayari kuimarisha urutubishaji urani kwa kiwango cha juu iwapo jitihada za Umoja wa Ulaya za kuyanasuru makubaliano ya nyuklia ya Iran zitagonga mwamba.
-
Uwezo na mafanikio ya Iran vyamkosesha utulivu Netanyahu
Jul 17, 2018 22:02Suala la Iran limekuwa likizidi kuvuruga akili ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel kiasi kwamba hata katika nyakati za mapumziko kadhia ya Iran inamkosesha utulivu.
-
Abdollahian: Siasa za Marekani za kuunga mkono kundi la kigaidi la munafiqina, zimefeli
Jul 17, 2018 22:01Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, siasa za Marekani za kucheza mchezo mchafu wa kuliunga mkono na kulisaidia kundi la kigaidi la munafiqina (MKO) kwa ajili ya kuishinikiza Iran, zimefeli.
-
Iran yawakamata magaidi wengine wa Daesh kusini mwa nchi
Jul 17, 2018 02:43Maafisa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran wamefanikiwa kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa genge la kigaidi lenye mfungamano na kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) kusini magharibi mwa nchi.
-
EU yapinga mashinikizo ya Marekani kuitenga Iran
Jul 17, 2018 02:39Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU haiwezi kuburuzwa na Marekani na kushinikizwa kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Julai 16
Jul 16, 2018 02:53Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, haswa kufikia tamati michuano ya Kombe la Dunia Russia....