Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Russia hauathiriwi na wengine

    Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Russia hauathiriwi na wengine

    Jul 13, 2018 02:59

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa akiwa na ujumbe maalumu wa Kiongozi Muadhamu na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Puttin wa Russia ambapo wamejadili masuala mbali mbali ya uhusiano wa pande mbili.

  • Ijumaa tarehe 13 Julai 2018

    Ijumaa tarehe 13 Julai 2018

    Jul 12, 2018 23:42

    Leo ni Ijumaa tarehe 29 Shawwal 1439 Hijria sawa na 13 Julai 2018.

  • Jukumu la balozi za Marekani duniani ni ujasusi na kupanga njama za kupindua serikali

    Jukumu la balozi za Marekani duniani ni ujasusi na kupanga njama za kupindua serikali

    Jul 12, 2018 23:42

    Tukiangazia historia ya nchi mbali mbali duniani tunabaini kuwa, balozi za Marekani badala ya kujihusisha na masuala ya udiplomasia pamoja na uhusiano mwema, zinahusika zaidi na masuala ya ujasusi, mapinduzi ya serikali halali na njama zinginezo haribifu kote duniani.

  • Marekani yalegeza msimamo wa vikwazo dhidi ya Iran baada ya kuonywa

    Marekani yalegeza msimamo wa vikwazo dhidi ya Iran baada ya kuonywa

    Jul 11, 2018 08:51

    Marekani imelegeza msimamo wake mkali wa kuiwekea Iran vikwazo na kuzuia mafuta ghafi ya petroli ya nchi hii kuuzwa katika soko la kimataifa ifikapo Novemba 4.

  • Saudia yaendeleza tuhuma zake dhidi ya Iran

    Saudia yaendeleza tuhuma zake dhidi ya Iran

    Jul 10, 2018 23:56

    Serikali ya Saudi Arabia sambamba na kutuma barua kwenda Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeituhumu nchi hii kwamba inakiuka haki yake ya kujitawala katika maji ya bahari ya nchi hiyo.

  • Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani akariri misimamo ya Washington dhidi ya Iran

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani akariri misimamo ya Washington dhidi ya Iran

    Jul 10, 2018 23:39

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri misimamo dhidi ya Iran ya serikali ya Washington na kuzitaja Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuwa ni washirika wakuu wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Kuzuia usafirishaji mafuta ya Iran; kutoka matamshi mpaka utekelezaji kivitendo

    Kuzuia usafirishaji mafuta ya Iran; kutoka matamshi mpaka utekelezaji kivitendo

    Jul 10, 2018 08:00

    Mjadala wa kuyawekea vikwazo mafuta ya Iran na kuzuia kabisa usafirishwaji na uuzaji nje wa bidhaa hiyo ya Iran umezingatiwa na vituo vya utafiti ambavyo vimetahadharisha kwamba, hatua hiyo itapelekea kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo na kufikia hadi dola 150 kwa pipa.

  • Russia: Nchi za Ulaya kufanya biashara na Iran bila kutumia dola za Marekani

    Russia: Nchi za Ulaya kufanya biashara na Iran bila kutumia dola za Marekani

    Jul 10, 2018 02:49

    Waziri wa Mambo wa Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesema nchi tatu kubwa za Umoja wa Ulaya na ambazo zilisaini makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zimeafikiana kuzindua uhusiano wa kibiashara na Iran pasina kutegemea matumizi ya dola za Marekani.

  • Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Jul 10, 2018 02:36

    Balozi wa Iran nchini Ivory Coast amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi hususan katika nyuga za diplomasia na siasa.

  • Jumanne tarehe 10 Julai 2018

    Jumanne tarehe 10 Julai 2018

    Jul 09, 2018 21:56

    Leo ni Jumanne tarehe 26 Shawwal 1439 Hijria sawa na Julai 10, 2018.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS