-
Ayatullah Jannati: Kuunga mkono mauaji dhidi ya raia wa Yemen ni nembo ya haki za binadamu za Kimarekani
Jul 04, 2018 09:34Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za utawala wa Saudi Arabia dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Yemen ni nembo ya wazi ya haki za binadamu za Kimarekani.
-
Rouhani: Njama za Marekani za kutaka kutengwa Iran zitagonga mwamba
Jul 04, 2018 03:07Rais Hassan Rouhani amesema njama mpya za Washington za kutaka kutengwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitakuwa na gharama kubwa kwa Wamarekani na kusisitiza kuwa taifa la Iran litasimama kidete zaidi mkabala wa njama hizo.
-
Marais wa Iran na Uswisi wataka kudumishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jul 03, 2018 11:13Marais wa Iran an Uswisi wametilia mkazo udharura wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama matunda makubwa ya kisiasa na kusema, kulindwa kwa makubaliano hayo kuna manufaa kwa usalama na amani ya kimataifa.
-
Mshauri wa Trump akiri kwamba Marekani na kundi la Munafiqin wamehusika katika ghasia nchini Iran
Jul 03, 2018 03:29Rudy Giuliani, mmoja wa watu wa karibu wa Rais Donald Trump wa Marekani na pia Mkuu wa Timu yake ya Kisheria, amekiri kushirikiana kundi la Munafiqin na serikali ya Marekani katika kuibua ghasia za hivi karibuni nchini Iran.
-
Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa
Jul 03, 2018 02:49Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo
-
Meja Jenerali Ghulam Ali Rashid: Tishio lolote litajibiwa vikali
Jul 02, 2018 22:38Kamanda wa kamandi kuu ya Khatamul Anbiya (S.A.W) amesema kuwa vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viko imara na vimejiandaa kukabiliana na tishio lolote la makundi ya kigaidi na kitakfiri kuliko ilivyokuwa huko nyuma na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa jibu kali kwa tishio lolote dhidi yake.
-
Ulimwengu wa Michezo, Julai 2
Jul 02, 2018 03:40Ufuatao ni ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, yakiwemo matokeo ya michuano ya Kombe la Dunia Russia.....
-
Uungaji mkono wa Russia kuhusu kuendelea nafasi chanya ya Iran nchini Syria
Jul 02, 2018 02:56Mikhail Bogdanov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe wa Rais Vladmir Putin wa Russia katika masuala ya Mashariki ya Kati, ameitaja nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria kuwa chanya.
-
Rais wa Iran aelekea Uswisi na Austria kwa ziara rasmi
Jul 01, 2018 22:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaanza safari rasmi ya kuzitembelea nchi za Uswisi na Austria kufuatia mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hizo mbili za bara Ulaya.
-
Jumatatu 2 Julai 2018
Jul 01, 2018 21:59Leo ni Jumatatu 18 Shawwal 1439 sawa na 2 Julai 2018