-
UNESCO yajumuisha maeneo 8 ya Iran katika orodha ya turathi za dunia
Jul 01, 2018 02:56Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeyaweka maeneo manane ya kihistoria ya kabla ya ujio wa Uislamu hapa nchini Iran katika orodha yake ya turathi za dunia.
-
Mogherini: EU imekipigia kura ya ndio kifurushi cha kuiunga mkono Iran kuhusiana na JCPOA
Jun 29, 2018 23:55Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini amesema kuwa umoja huo umekipigia kura 28 za ndio kifurushi cha kuiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika fremu ya makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu Kuhusu matakwa ya taifa la Iran kwa wale wanaodai kutetea haki za binadamu
Jun 28, 2018 08:33Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na wakuu wa vyombo vya mahakama alisema: "Katika suala la haki za binadamu, Jamhuri ya Kiislamu ina matakwa na majibu inayotaka kutoka kwa Wamagharibi watenda jinai wanaodai kutetea haki za binadamu."
-
Rouhani: Taifa la Iran litaipiga mweleka Marekani katika mapambano ya kusimama kidete
Jun 27, 2018 23:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana jioni alisisitiza kuwa taifa la Iran kamwe haliwezi kuwapigia magoti wavamizi na mabeberu na kuongeza kuwa, Wairani wataishinda Marekani katika mapambano ya maamuzi na ya kusimama kidete.
-
Wairani 85,200 kwenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu
Jun 27, 2018 23:18Wairani 85,200 wanatazamiwa kwenda nchini Saudi Arabia kutekeleza ibada tukufu ya Hija mwaka huu.
-
Iran: Mapambano ya watu wanaopigania kujikomboa si ugaidi
Jun 27, 2018 03:45Es'haq Al-e Habib, naibu wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza Kuu la umoja huo kuwa, mapambano ya wananchi wanaopigania kujikomboa kutoka katika makucha ya wavamizi wanaozikalia kwa mabavu ardhi zao, si ugaidi.
-
Iran na Oman zazidi kuimarisha ushirikiano wao wa baharini
Jun 27, 2018 03:29Kikao cha 17 cha kamati ya pamoja ya uchumi baina ya Iran na Oman kimehimiza kuimarishwa ushirikiano wa nchi mbili kupitia bandari ya Chabahar katika mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Larijani: Ni upuuzi kufanya mazungumo na Marekani
Jun 26, 2018 21:44Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema hakuna umuhimu na maana yoyote kufanya mazungumzo na Marekani, baada ya Washington kujiondoa kiwepesi kwenye mapatano ya kimataifa.
-
Ulimwengu wa Michezo, Juni 25
Jun 25, 2018 02:35Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, haswa matokeo ya michuano ya Kombe la Dunia Russia.....
-
Kufuatiliwa mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani katika mahakama ya kimataifa ya ICJ
Jun 24, 2018 08:07Ijumaa iliyopita Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) ya The Hague, Uholanzi ilisema kwamba itaanza kuchunguza mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani ya kuzuiliwa mabilioni ya dola zake katika benki za nchi hiyo.