Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump

    Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump

    May 30, 2018 03:40

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.

  • Ujerumani yaipigia magoti Iran, yaitaka isijiondoe JCPOA

    Ujerumani yaipigia magoti Iran, yaitaka isijiondoe JCPOA

    May 29, 2018 23:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Berlin iko tayari kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran madhali Tehran itaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Salami: Iran katu haitasitisha ustawi wa makombora

    Salami: Iran katu haitasitisha ustawi wa makombora

    May 29, 2018 22:05

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC, Brigedia Jenerali Hussein Salami amepuuzilia mbali uwezekano wa Iran kufanya mazungumzo kuhusu kupunguza uwezo wake wa makombora.

  • India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran

    India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran

    May 29, 2018 03:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema kuwa, nchi yake haitofuata maagizo ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia

    IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia

    May 26, 2018 03:13

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani IMF amemuasa Rais Donald Trump wa Marekani kuangalia upya sera zake za kushadidisha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.

  • Kongresi ya Marekani yampiga marufuku Trump kutangaza vita dhidi ya Iran

    Kongresi ya Marekani yampiga marufuku Trump kutangaza vita dhidi ya Iran

    May 25, 2018 22:36

    Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamepasisha kwa kauli moja muswada wa marekebisho ya sheria inayompiga marukufu Rais Donald Trump kutangaza vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bila ridhaa ya Bunge hilo.

  • Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa

    Larijani: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa US yanaonesha hana ukomavu wa kisiasa

    May 25, 2018 02:34

    Spika wa Majilisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hayana mantiki na yanaonesha kuwa waziri huyo hana ukomavu wa kisiasa.

  • Radiamali ya Ulaya kuhusiana na stratijia mpya ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Radiamali ya Ulaya kuhusiana na stratijia mpya ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    May 23, 2018 23:38

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa radiamali yake kupitia tovuti rasmi ya umoja huo kufuatia stratijia mpya iliyotangazwa na Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Iran, akitangaza kufungamana kikimilifu EU na makubaliano ya nyuklia ya Iran maaruku kwa jina la JCPOA.

  • Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia

    Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imewapatia kinga Wazayuni na Wasaudi ya kushambulia raia

    May 22, 2018 23:55

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni na ule wa Aal Saud zinaungwa mkono na Marekani kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama katika mashambulio yao dhidi ya raia na kubainisha kuwa Washington imezipatia kinga tawala mbili hizo.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yatoa jibu kwa matamshi machafu ya Pompeo

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yatoa jibu kwa matamshi machafu ya Pompeo

    May 22, 2018 05:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu inayoeleza kwamba matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Iran ni ishara ya kuemewa na kuishiwa nchi hiyo na kutojua la kufanya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS