Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yatoa jibu kwa matamshi machafu ya Pompeo

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yatoa jibu kwa matamshi machafu ya Pompeo

    May 22, 2018 05:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu inayoeleza kwamba matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani dhidi ya Iran ni ishara ya kuemewa na kuishiwa nchi hiyo na kutojua la kufanya.

  • Rouhani: Marekani haiwezi kuiamulia dunia nzima

    Rouhani: Marekani haiwezi kuiamulia dunia nzima

    May 21, 2018 23:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haiwezi kuchukua mamuzi kuhusu Iran na nchi zingine huru na zenye kujitegemea duniani.

  • Matamshi yaliyo dhidi ya Iran ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani

    Matamshi yaliyo dhidi ya Iran ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani

    May 21, 2018 23:35

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amekariri madai yaliyo dhidi ya Iran na kwa mara nyingine tena kuituhumu Tehran kuwa inasababisha ukosefu wa amani katika eneo.

  • Iran haitafanya mazungumzo kuhusu maudhui yoyote isipokuwa Mapatano ya Nyuklia ya JCPOA

    Iran haitafanya mazungumzo kuhusu maudhui yoyote isipokuwa Mapatano ya Nyuklia ya JCPOA

    May 21, 2018 07:51

    Karibu wiki mbili baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekeelzwaji, JCPOA, kumefanyika mazungumzo mjini Brussels baina ya wakuu wa Iran na Umoja wa Ulaya.

  • Zarif: EU ichukue hatua za kivitendo katika kuendeleza ushirikiano na Iran

    Zarif: EU ichukue hatua za kivitendo katika kuendeleza ushirikiano na Iran

    May 20, 2018 22:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Umoja wa Ulaya unapaswa kuchukua hatua za kivitendo na kuongeza uwekezaji wake nchini Iran katika kuendeleza ushirikiano wa kibiashara na Tehran."

  • Rouhani: Njama za Marekani za kuitenga Iran na dunia zimefeli

    Rouhani: Njama za Marekani za kuitenga Iran na dunia zimefeli

    May 20, 2018 02:56

    Rais Hassan Rouhani amesema njama za Marekani za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na dunia zimegonga mwamba licha ya jitihada kubwa za Washington za kufanikisha azma hiyo.

  • Wananchi wa Iran wafanya maandamano kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Wananchi wa Iran wafanya maandamano kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 18, 2018 10:15

    Wananchi wa Iran wamemiminika mabarabarani baada ya Sala ya Ijumaa hii leo kushiriki maandamanao ya kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina, sambamba na uamuzi wa upande mmoja wa Marekani wa kuuhamishia ubalozi katika mji mtukufu wa Quds, kutoka Tel Aviv.

  • Zarif: Baadhi ya nchi za Kiarabu hazishughulishwi kabisa na masuala ya ulimwengu wa Kiislamu

    Zarif: Baadhi ya nchi za Kiarabu hazishughulishwi kabisa na masuala ya ulimwengu wa Kiislamu

    May 18, 2018 10:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema baadhi ya nchi za Kiarabu zimejikurubisha na kujipendekeza kwa Marekani na utawala wa Kizayuni, na zimepuuza kabisa malengo na changamoto zinazoukabili ulimwengu wa Kiislamu.

  • Syria: Tunairuhusu Iran kuweza kuendesha shughuli zake katika hatua ya ukarabati wa nchi

    Syria: Tunairuhusu Iran kuweza kuendesha shughuli zake katika hatua ya ukarabati wa nchi

    May 18, 2018 03:33

    Waziri Mkuu wa Syria amekutana mjini Damascus na Abbas Ahmad Akhoundi, Waziri wa Barabara, Makazi na Ujenzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, nchi yake imejiandaa Iran kila aina ya suhula na kuondoa vizuizi kwa ajili ya kuiwezesha Tehran kushiriki katika awamu ya ukarabati wa nchi hiyo

  • Russia: Vikwazo vya Marekani haviwezi kuizuia Moscow kushirikiana na Iran

    Russia: Vikwazo vya Marekani haviwezi kuizuia Moscow kushirikiana na Iran

    May 18, 2018 03:22

    Naibu Waziri Mkuu wa Russia amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haviwezi kuzuia ushirikiano kati ya Moscow na Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS