-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Uturuki; kulaaniwa mwenendo wa kigaidi wa Israel
May 17, 2018 07:02Rais Hassan Rouhani amesema, mauaji ya wananchi madhulumu wa Palestina yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kumbukumbu ya mwaka wa 70 tangu kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina ni maafa makubwa na yenye athari.
-
Rais Rouhan atuma salamu za Ramadhani kwa viongozi wa nchi za Kiislamu duniani
May 17, 2018 00:20Rais Hassan Rouhan wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe tofauti wa salamu za Ramadhan viongozi wan chi za Kiislamu duniani.
-
Russia na Ufaransa kuendelea kufungamana na JCPOA
May 15, 2018 22:11Siku chache baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA, kwa mara nyingine tena marais wa Russia na Ufaransa wamesisitizia umuhimu wa pande zilizosalia kuendelea kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.
-
Jumanne, 15 Mei, 2018
May 14, 2018 22:09Leo ni Jumanne tarehe 28 Shaaban 1439 Hijria mwafaka na tarehe 15 Mei 2018 Miladia.
-
Zarif: Russia yasema itaheshimu mapatano ya nyuklia hata baada ya Marekani kujiondoa
May 14, 2018 09:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Russia imethibitisha kuwa itaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo ni maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, hata baada ya Marekani kujiondoa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 14
May 14, 2018 01:43Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita..
-
Rais wa Uturuki: Israel inaisukuma Mashariki ya Kati kwenye lindi la vita
May 13, 2018 22:36Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unapanda mbegu za hofu na kulisukuma eneo la Mashariki ya Kati kwenye lindi la vita.
-
Zarif aanza safari ya kuzitembelea China, Russia na Brussels kuhusu JCPOA
May 13, 2018 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumapili ameelekea mjini Beijing, katika safari ya kuzitembelea China, Russia na Ubelgiji; ziara yenye lengo la kutathmini utayarifu wa jamii ya kimataifa wa kuihakikishia Iran kuwa itasalia katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, licha ya Marekani kujiondoa kwenye mapatao hayo.
-
Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
May 12, 2018 07:55Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.
-
Iran yalaani shambulizi dhidi ya Waislamu msikitini Afrika Kusini
May 12, 2018 03:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la hivi karibuni dhidi ya msikiti mmoja karibu na mji wa Durban nchini Afrika Kusini.