-
Inspekta Mkuu wa IAEA ajiuzulu baada ya Marekani kujiondoa JCPOA
May 12, 2018 02:50Inspekta Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ametangaza kujiuzulu ghafla, siku chache baada ya Rais Donald Trump kuiondoa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Iran yaiandikia barua UN kuilaani Israel kwa kuunga mkono magaidi
May 12, 2018 00:08Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaunga mkono magaidi katika nchi za eneo hili ikiwemo Syria.
-
Alaeddin Boroujerdi: Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria
May 11, 2018 23:47Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mtihani muhimu wa kihistoria.
-
JCPOA; Siasa za Iran na matarajio yake kwa nchi Ulaya
May 11, 2018 23:45Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mashauriano mapana, ya kina na ya nyuga tofauti yanaendelea kufanyika kwa madhumuni ya kuyadumisha makubaliano hayo kwa sharti la kudhaminiwa kivitendo manufaa na maslahi ya Iran. Na wakati nchi za Ulaya, China na Russia zinatangaza uungaji mkono wao kwa JCPOA, Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya dhidi ya Iran.
-
Marekani imekiuka sheria kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA
May 11, 2018 00:15Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi kufuatia kufuatia hatua ya Marekani kukiuka sheria na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Ufaransa; fursa yenye mpaka ya Ulaya kwa ajili ya kuhifadhi JCPOA
May 10, 2018 23:35Baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, juhudi za madola ya Ulaya yaliyofikia makubaliano ya nyuklia na Iran zenye lengo la kuikinaishia Tehran ibakie katika makubaliano hayo zinaonekana kushika kasi zaidi.
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya JCPOA
May 09, 2018 09:22Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, wameitaka serikali ya Iran itekeleza Kipengee cha 3 cha Sheria ya Hatua Mkabala Kuhusuaiana na Utekelezwaji Mapatano ya Nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
WHO yazindua oparesheni ya kuwapa chanjo watoto milioni mbili Afrika
May 08, 2018 03:20Shirika la Afya Dunia WHO limesema operesheni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa kipindupindu barani Afrika imezinduliwa, ili kuwasaidia watu milioni mbili katika nchi tano za Afrika.
-
Zarif: Marekani ikichukua uamuzi usio sahihi kuhusu JCPOA, itakabiliwa na jibu mwafaka la Iran
May 07, 2018 03:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itakosea na kuchukua uamuzi usio sahihi kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), itakkabiliwa na jibu linalofaa kutoka kwa Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Mei 7
May 07, 2018 01:28Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita..