Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika Kusini yawekewa lengo la dola bilioni moja ifikapo mwaka 2020

    Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Afrika Kusini yawekewa lengo la dola bilioni moja ifikapo mwaka 2020

    May 06, 2018 22:30

    Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika wa Shirika la Ustawi wa Biashara la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimeweka lengo la kustawisha mabadilishano ya kibiashara baina yao na kufikia kiwango cha dola bilioni moja ifikapo mwaka 2020.

  • Shamkhani: JCPOA ni mtihani wa kihistoria kwa ufanisi wa taasisi za kimataifa

    Shamkhani: JCPOA ni mtihani wa kihistoria kwa ufanisi wa taasisi za kimataifa

    May 05, 2018 22:06

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kudumu au kuvunjika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, yakiwa ni makubaliano ya kisiasa na kiusalama yaliyothibitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni mtihani wa kihistoria wa kutathmini taathira ya mantiki ya mazungumzo badala ya mizozo na vilevile kiwango cha ufanisi wa taasisi za kimataifa.

  • HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na nchi zinazouhami Muqawama

    HAMAS yasisitiza kuendeleza uhusiano wa kistratejia na nchi zinazouhami Muqawama

    May 05, 2018 10:26

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitizia ulazima wa kuendelezwa uhusiano wa kistratejia na nchi zinazounga mkono na kuuhami muqawama wa Palestina.

  • Mafanikio ya wanasayansi Wairani katika matibabu ya moyo

    Mafanikio ya wanasayansi Wairani katika matibabu ya moyo

    May 05, 2018 09:08

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Kuweni nasi hadi mwisho.

  • Sanaa za mikono, Bandar Abbas, Iran + Video

    Sanaa za mikono, Bandar Abbas, Iran + Video

    May 05, 2018 07:43

    Iran ni nchi yenye utamaduni mkongwe sana. Ni ya watu wa makabila, kaumu, rangi, sura, ustaarabu, tamaduni na mavazi ya kila namna.

  • Uhusiano wa kijeshi wa Iran na Oman wazidi kuimarika

    Uhusiano wa kijeshi wa Iran na Oman wazidi kuimarika

    May 05, 2018 03:24

    Kikao cha 14 cha Kamati ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kijeshi na Kiulinzi wa Oman na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimeanza leo hapa mjini Tehran.

  • Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi nchini Iran

    Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi nchini Iran

    May 04, 2018 23:33

    Maonyesho ya 23 ya Kimataifa ya Mafuta, Gesi, Usafishaji na Petrokemikali yanatazamiwa kuanza kesho Jumapili hapa mjini Tehran.

  • Ujumbe Muhimu wa Zarif kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran + VIDEO

    Ujumbe Muhimu wa Zarif kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran + VIDEO

    May 04, 2018 12:03

    Katika Ujumbe wake wa video hapo jana Alkhamisi, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema kuwa kuna chaguo moja tu la kufanikisha makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia, nalo ni Marekani kutekeleza ahadi zake zote kuhusiana na makubaliano hayo.

  • Ujumbe wa Zarif: Mapatano ya JCPOA ima yatabakia katika mfumo wake wa sasa au yavunjike kabisa

    Ujumbe wa Zarif: Mapatano ya JCPOA ima yatabakia katika mfumo wake wa sasa au yavunjike kabisa

    May 04, 2018 08:08

    Katika Ujumbe wake wa video hapo jana Alkhamisi, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema kuwa kuna chaguo moja tu la kufanikisha makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita kubwa za dunia, nalo ni Marekani kutekeleza ahadi zake zote kuhusiana na makubaliano hayo.

  • Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia

    Katibu Mkuu wa UN: JCPOA ni ushindi muhimu wa kidiplomasia

    May 04, 2018 02:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya dhidi ya kuvunjwa makubaliano ya nyuklia ya Iran huku akisisitiza kuwa mapatano hayo ni ushindi muhimu wa kidiplomasia ambayo yanapaswa kulindwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS