-
Iran na muono wake wa mbali kuhusu mgogoro wa Yemen; US, UK, Ufaransa washiriki wa jinai zinazotendwa Yemen
Mar 31, 2018 01:42Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, lengo la wimbi jipya la tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Iran ya kwamba eti Tehran inatuma silaha nchini Yemen, ni kujaribu kuzipotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zinazoongozwa na Saudia huko Yemen.
-
Ayatullah Kermani: Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari
Mar 30, 2018 11:52Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari kwa kufuata nyayo za Imam Ali AS.
-
Rais Rouhani: Bahari ya Caspian imekuwa chachu ya umoja na ushirikiano wa nchi za eneo
Mar 29, 2018 11:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema bahari ya Caspian leo imekuwa wenzo wa umoja na ushirikiano wa nchi za eneo na kuongeza kwamba zile nukta ambazo wenye nia mbaya walitaka kuzitumia kama nyenzo za kuchochea hitilafu zimegeuka kuwa chachu ya kuleta umoja, ushirikiano na uratibu kati ya nchi za eneo linalozunguka bahari hiyo.
-
Gholamali Khoshroo aitaka Saudi Arabia iachane na vita
Mar 28, 2018 02:51Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia uachane na hatua zake za vita.
-
Jumanne tarehe 27 Machi, 2018
Mar 26, 2018 21:56Leo ni Jumanne 9 Rajab 1439 Hijria sawa na Machi 27, 2018.
-
Iran yakosoa hatua ya kuongezwa muda wa Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu
Mar 25, 2018 10:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Bahram Qassemi amelaani hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuongeza muda wa kuhudumu ripota wake maalumu kuhusu kadhia ya Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 26
Mar 26, 2018 01:41Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita...
-
Bahram Qassemi: Ugaidi unapaswa kung'olewa idiolojia na mizizi yake
Mar 25, 2018 06:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena ameonya kuwa, ugaidi ni tihio kwa jamii ya kimataifa, na kuna haja ya kukabiliana na jinamizi hilo toka kwenye mzizi yake.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusiana na matukio mbalimbali ya kieneo
Mar 22, 2018 02:27Jumatano ya jana Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na idadi kubwa ya wafanya ziara na wakazi wanaoishi jirani na Haramu Tukufu ya Imam Ridha (as) mjini Mash'had kwa mnasaba wa sikukuu ya Nairuzi, ambapo alitoa ufafanuzi jumla kuhusiana na matukio mbalimbali ya eneo la Mashariki ya Kati na masuala ya dharura ya kiuchumi pamoja na mambo mengine muhimu.
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani
Mar 21, 2018 10:01Taifa la Iran limeanza sherehe za mwaka mpya wa Nairuzi kwa ujumbe muhimu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ujumbe ambao una nukta muhimu zinazotia matumaini kuhusiana na mustakbali wa taifa.