-
Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui
Mar 21, 2018 01:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia akisema kuwa, mwaka uliomalizika wa 1396 ulikuwa mwaka wa mafanikio na ushindi wa taifa kubwa la Iran katika nyanja mbalimbali licha ya njama zote za wanaoitakia mabaya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Saudia haiwezi kuficha rekodi yake ya ugaidi kwa kuichafua Jamhuri ya Kiislamu
Mar 20, 2018 12:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali madai mapya yaliyotolewa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia kwamba Tehran imewaficha wakuu wa magenge ya kigaidi na kusisitiza kuwa, Riyadh haiwezi kuficha wala kupotosha historia na rekodi yake ya kuunga mkono na kufadhili ugaidi, kwa kueneza urongo na propaganda dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ulimwengu wa Soka, Machi 19
Mar 19, 2018 02:46Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tuangazie matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....
-
Iran na Oman zasisitizia ulazima wa kuimarishwa amani na uthabiti katika eneo
Mar 18, 2018 13:19Rais Hassan Rouhani amesisitiza juu ya kuimarishwa na kustawishwa zaidi uhusiano uliopo kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman.
-
Larijani: Suala la makombora ya Iran halijadiliki
Mar 18, 2018 04:44Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa nchi za Ulaya hazipasi kuunganisha kadhia ya makombora ya Iran na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA bali zinapasa kushughulikia majukumu yao na ya Marekani kuhusu makubaliano hayo.
-
Wayemen 1,300 wameambukizwa Dondakoo huku Saudia ikizidisha hujuma
Mar 17, 2018 22:59Shirika la Afya Duniani limetahadharisha kuwa Yemen inashuhudia kwa kasi ugonjwa wa dondakoo (diphtheria) ambao husababisha kupumua kwa shida.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman awasili mjini Tehran, aonana na Zarif
Mar 17, 2018 00:37Yusuf bin Alawi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman jana usiku aliwasili hapa Tehran kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi na tayari ameshaonana na waziri mwenzake wa Iran, Mohammad Javad Zarif.
-
Zarif: Ili kukombolewa kikamilifu Syria kuna haja ya kuweko vita vya pamoja dhidi ya ugaidi
Mar 16, 2018 10:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ili kukombolewa kikamilifu Syria kuna udharura wa kuweko vita vya pamoja dhidi ya ugaidi.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu sababu za uadui dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran
Mar 16, 2018 03:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa sababu ya uadui unaofanywa dhidi ya utawala wa Kiislamu hapa nchini ni utambulisho wa utawala huo na malengo yake makuu.
-
Qassemi: Bin Salman ni mwanagenzi anayeona ndoto za mchana
Mar 16, 2018 01:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi yaliyojaa dharau ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia na kusema matamshi hayo ya Muhammad bin Salman hayana thamani ya kujibiwa kwa sababu ni mwanagenzi anayeona njozi na asiyejua lolote isipokuwa kusema uongo.