Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Qassemi: Bin Salman ni mwanagenzi anayeona ndoto za mchana

    Qassemi: Bin Salman ni mwanagenzi anayeona ndoto za mchana

    Mar 16, 2018 01:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi yaliyojaa dharau ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia na kusema matamshi hayo ya Muhammad bin Salman hayana thamani ya kujibiwa kwa sababu ni mwanagenzi anayeona njozi na asiyejua lolote isipokuwa kusema uongo.

  • Wamarekani wengi wapinga sera za Trump kuhusu Iran

    Wamarekani wengi wapinga sera za Trump kuhusu Iran

    Mar 13, 2018 23:14

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa na taasisi ya Gallup umebaini kuwa, asilimia kubwa ya Wamarekani hawakubaliani na siasa za Rais wa nchi hiyo, Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Hatuna chuki na Saudia; iwapo itavamiwa, Tehran itakuwa ya kwanza kuihami

    Iran: Hatuna chuki na Saudia; iwapo itavamiwa, Tehran itakuwa ya kwanza kuihami

    Mar 13, 2018 04:32

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwa bahati mbaya ikitokea Saudi Arabia ikabiliwe na uvamizi wa maajinabi au ugaidi, Tehran itakuwa ya kwanza kujitokeza kuihami na kuisaidia.

  • Jumanne tarehe 13 Machi, 2018

    Jumanne tarehe 13 Machi, 2018

    Mar 12, 2018 23:10

    Leo ni Jumanne tarehe 24 Jamadithani 1439 Hijria sawa na 13 Machi, 2018.

  • 'Ripoti ya Haki za Binadamu ya UN ni dhidi ya Iran, haina ushahidi na ni ya uongo

    'Ripoti ya Haki za Binadamu ya UN ni dhidi ya Iran, haina ushahidi na ni ya uongo

    Mar 12, 2018 12:35

    Mkuu wa vyombo vya mahakama Iran amesema, waliowengi duniani wanapinga undumakuwili unaoonyeshwa na taasisi za kimataifa kuhusu haki za binadamu.

  • Ulimwengu wa Michezo, Machi 12

    Ulimwengu wa Michezo, Machi 12

    Mar 12, 2018 03:25

    Hujambo mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu katika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa, karibu……

  • Kamanda wa SEPAH: Israel haiwezi kuthubutu kuichokoza Iran

    Kamanda wa SEPAH: Israel haiwezi kuthubutu kuichokoza Iran

    Mar 11, 2018 23:00

    Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uthubutu wa kuzusha chokochoko dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu wala uwezo wa kuhimili matokeo mabaya ya uchokozi huo.

  • Sheikh wa Kisuni nchini Syria: Iran imebadili mlingano wa maadui katika eneo

    Sheikh wa Kisuni nchini Syria: Iran imebadili mlingano wa maadui katika eneo

    Mar 10, 2018 11:49

    Sheikh maarufu wa Waislamu wa Suni nchini Syria na Kiongozi wa Harakati ya Wananchi kwa ajili ya Kuikomboa Palestina yenye makazi yake eneo la Zainabia mjini Damascus, mji mkuu wa Syria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutumia uwezo wake mkubwa imeweza kubadili mlingano wa maadui katika uga wa kisiasa na kijeshi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Iran yalaani kushambuliwa ubalozi wake London, Uingereza

    Iran yalaani kushambuliwa ubalozi wake London, Uingereza

    Mar 10, 2018 04:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya kushambuliwa ubalozi wake mjini London, na kuitaka polisi ya Uingereza kuwadhaminia usalama wanadiplomasia wa Iran nchini humo.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kuwepo Iran katika eneo hili hakuipendezi hata kidogo Marekani

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kuwepo Iran katika eneo hili hakuipendezi hata kidogo Marekani

    Mar 09, 2018 02:55

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha wazi kwamba taifa la Iran liko tayari muda wote kumpigisha magoti adui yake na kusisitiza kuwa, uwepo wa Iran katika eneo hili hauihusu kivyovyote vile Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS