Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran

    Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran

    Dec 17, 2017 04:26

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekiri kuwa Washington haina mpango wowote wa kuanzisha vita vya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na tuhuma kuwa Tehran inaizatiti kwa silaha harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Zarif: Iran itaishtaki Marekani Umoja wa Mataifa

    Zarif: Iran itaishtaki Marekani Umoja wa Mataifa

    Dec 17, 2017 00:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu itayawasilisha Umoja wa Mataifa madai ya Nikki Haley, balozi wa Marekani katika umoja huo kwamba eti Iran imeipatia silaha harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Zarif: Uhai na kifo cha baadhi ya nchi zinazopakana Iran unategemea amri ya madola makubwa

    Zarif: Uhai na kifo cha baadhi ya nchi zinazopakana Iran unategemea amri ya madola makubwa

    Dec 16, 2017 12:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema uhai na kifo cha baadhi ya tawala zinazopakana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unategemea maamuzi ya madola makubwa au Shirika la Kijeshi ya Nchi za Magharibi (NATO), au madola makubwa ya nyuklia.

  • Uganda yaalika mashirika zaidi ya Iran kuwekeza nchini humo

    Uganda yaalika mashirika zaidi ya Iran kuwekeza nchini humo

    Dec 16, 2017 12:00

    Spika wa Bunge la Uganda ametoa wito kwa mashirika ya Iran yaimarishe zaidi uwekezaji nchini humo.

  • Kambi ya muqawama yenye mshikamano; mwokozi dhidi ya njama za maadui

    Kambi ya muqawama yenye mshikamano; mwokozi dhidi ya njama za maadui

    Dec 16, 2017 04:34

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, SEPAH amesema kuwa, muqawama wa Kiislamu Mashariki ya Kati na dunia unaishia katika kambi ya muqawama wa Mapinduzi ya Kiislamu na kwamba ushindi mtawalia wa kambi hii ungali unaendelea.

  • Zarif: Marekani ni mshirika wa Saudia katika uhalifu wa kivita Yemen

    Zarif: Marekani ni mshirika wa Saudia katika uhalifu wa kivita Yemen

    Dec 16, 2017 00:15

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa Marekani ni mshirika wa Saudi Arabia katika uhalifu na jinai za kivita zinazofanyika nchini Yemen.

  • Maonyesho bandia ya Marekani dhidi ya Iran hayatafanikiwa

    Maonyesho bandia ya Marekani dhidi ya Iran hayatafanikiwa

    Dec 15, 2017 03:27

    Gholamali Khoshroo mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amepinga vikali tuhuma za Balozi wa Marekani katika umoja huo dhidi ya Iran kuhusu msaada wa silaha kwa vikosi vya Yemen. Amesema tuhuma hizo ni ishara ya wazi ya uharibifu, uchochezi na kutowajibika Marekani.

  • UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran

    UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran

    Dec 15, 2017 00:47

    Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa usiku wa kuamkia leo amesisitiza kuwa, hakuna ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha madai kwamba makombora yanayotumiwa na jeshi la Yemen kuipiga Saudi Arabia yanatoka nchini Iran.

  • Katibu Mkuu wa UN: Makombora yaliyoshambulia Saudia kutokea Yemen si ya Iran

    Katibu Mkuu wa UN: Makombora yaliyoshambulia Saudia kutokea Yemen si ya Iran

    Dec 12, 2017 12:53

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo haujaweza kuthibitisha kuwa makombora yaliyolenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh ni ya Iran.

  • Jenerali Qassem Soleimani: Iran iko tayari kuvisaidia vikosi vya Muqawama vya Palestina kwa kila hali

    Jenerali Qassem Soleimani: Iran iko tayari kuvisaidia vikosi vya Muqawama vya Palestina kwa kila hali

    Dec 12, 2017 12:48

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kutoa msukumo na kuvisaidia kwa kila hali vikosi vya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS