-
Tufani iliyomsomba Trump
Oct 16, 2017 04:58Hotuba iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani na misimamo yake ya kustaajabisha kuhusu sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimezusha tufani na kimbunga kikubwa.
-
Ulimwengu wa Michezo
Oct 16, 2017 04:38Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kukupasha matukio mawili matatu yaliyotikisa uga wa michezo duniani, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi, karibu……...
-
Iran: Trump ni mfanyabiashara, hajui chochote kuhusu siasa na diplomasia
Oct 15, 2017 04:32Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema tabia zisizo na mantiki za Rais Donald Trump wa Marekani zinaashiria kuwa hajui siasa wala hana ufahamu kuhusu mambo ya historia.
-
Ofisi inayoshughulikia maslahi ya Iran nchini Marekani yashambuliwa
Oct 15, 2017 04:16Ofisi inayoshughulikia maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Washington imevamiwa, masaa machache baada ya hotuba ya kichochezi iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani, dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Zarif: Wairani wote ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"
Oct 14, 2017 12:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu yay Iran amesema katika radiamali yake kwa matamshi ya chuki na kiuadui ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwamba hii leo Wairani wote, wake kwa waume na vijana kwa wazee ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu".
-
Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA
Oct 14, 2017 00:48Russia imeonya kuwa Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyotiwa saini mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Trump azidi kupingwa, Wamarekani wengi waunga mkono JCPOA
Oct 14, 2017 00:48Huku misimamo ya serikali ya Marekani iliyo dhidi ya Iran ikizidi kuchachamaa, uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni kabisa unaonesha kuwa, Wamarekani walio wengi hawakubaliani na misimamo ya Donald Trump na wanaunga mkono makubaliano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1.
-
Sababu ya Wamarekani kuwa na hasira na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH
Oct 13, 2017 04:43Waziri wa Ulinzi wa Iran ametoa radiamali yake kwa vitisho vya hivi karibuni vya serikali na viongozi wa Marekani dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni asasi kubwa kabisa iliyo dhidi ya ugaidi na iko mstari wa mbele katika vita na mapambano dhidi ya ugaidi katika Mashariki ya Kati.
-
Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; mtihani kwa Trump na itibari ya Marekani kimataifa
Oct 12, 2017 10:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa kifupi, ni mtihani muhimu kwa serikali zilizoshiriki katika mazungumzo ya nyuklia na tawala nyingine duniani na kwamba, kutekeleza ahadi ni msingi wa dunia kuiamini serikali fulani.
-
Kamanda wa IRGC: Marekani inaunga mkono kilojistiki magaidi wa ISIS Iraq na Syria
Oct 12, 2017 02:10Kamanda wa ngazi za juu nchini Iran amesema Marekani inawapatia silaha na misaada ya chakula magaidi wa kundi la ISIS au Daesh nchini Syria na Iraq wakati magaidi hao wanakaribia kuangamizwa.