-
Iran na Tanzania zasisitiza udharura wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Oct 12, 2017 02:06Waziri wa Masuala ya Uchumi wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wamesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano wa kiuchumi baina ya pande mbili.
-
Tanzania na Iran zakubaliana kuunda kamisheni ya pamoja ya kiuchumi
Oct 11, 2017 12:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zimefikia makubaliano ya kuunda kamisheni ya pamoja ya kiuchumi.
-
Wabunge wa Iran: IRGC iwatizame kama magaidi askari wa US ikiwekwa kwenye orodha nyeusi
Oct 11, 2017 04:51Wabunge wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wamesema Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC lina haki na uhuru wa kuwatazama wanajeshi wa Marekani kama magaidi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) iwapo litawekwa kwenye orodha nyeusi ya US.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania yupo ziarani nchini Iran
Oct 11, 2017 04:50Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wa Tanzania, Augustine Mahiga yupo nchini Iran kwa safari rasmi ya kikazi.
-
Kuendelea upinzani sambamba na uamuzi tarajiwa wa Trump kuhusiana na makubaliano ya JCPOA
Oct 10, 2017 23:02Sambamba na kukaribia tarehe ya kutangazwa msimamo wa serikali ya Marekani kuhusiana na Iran na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), mazungumzo kwa ajili ya Washington kuheshimu makubaliano hayo ya nyuklia nayo yameshika kasi.
-
"Uwezo wa Iran" waenda sambamba na ushirikiano wa sekta za ulinzi na udiplomasia
Oct 10, 2017 04:26Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, IRGC, amesisitiza kuwepo muelekeo wa pamoja katika sekta za ulinzi na udiplomasia nchini Iran na kumfahamisha rais wa Marekani hivi: "Bw. Trump, fahamu kuwa sisi (IRGC) tuko pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje na serikali yetu na nyoyo zetu ziko pamoja."
-
Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Umoja wa Afrika
Oct 10, 2017 01:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuimarisha uhusiano wake na Umoja wa Afrika, AU katika sekta za sayansi, teknolojia, kilimo, kijamii na uchumi.
-
Amano: Iran imetekeleza majukumu yake kuhusu JCPOA
Oct 09, 2017 23:38Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa Iran imeheshimu na kutekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Ulimwengu wa Michezo, Okt 9
Oct 09, 2017 05:55Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi....
-
Zarif: Iran itatoa jibu mwafaka kwa misimamo ya Trump kuhusu JCPOA
Oct 08, 2017 23:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itatoa jibu mwafaka kujibu mapigo ya hatua yoyote ya kiuhasa itakayochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya makubaliano ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.