Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ombi la Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa Iran na Uturuki

    Ombi la Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa Iran na Uturuki

    Oct 08, 2017 09:51

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kupitia taarifa rasmi iliyoiwasilisha kwa balozi za Iran na Uturuki mjini Baghdad, imezitaka nchi hizo mbili sambamba na kufunga vivuko vyote vya eneo la Kurdistan ya Iraq, kusimamisha pia miamala ya mauziano ya mafuta na eneo hilo.

  • Marekani yahamakishwa na kufeli njama zake dhidi ya Iran

    Marekani yahamakishwa na kufeli njama zake dhidi ya Iran

    Oct 07, 2017 04:22

    Baada ya kushindwa njama zake zote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, msemaji wa Ikulu ya Marekani White House amemalizia hamaki zake kwa kudai kuwa eti Iran inasababisha matatizo duniani.

  • Bwabwaja za Trump kabla ya kuchukua uamuzi kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Bwabwaja za Trump kabla ya kuchukua uamuzi kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Oct 06, 2017 04:25

    Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akifanya jitihada za kuharibu makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 kwa kutumia fursa na mbinu zote, kwa mara nyingine tena amedai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitekelezi makubaliano hayo.

  • Kura ya maoni ya Kurdistan katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Kura ya maoni ya Kurdistan katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Oct 05, 2017 05:58

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei usiku wa jana Jumatano alionana na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ambapo aliashiria manufaa ya Marekani na utawala haramu wa Israel katika kura ya maoni iliyofanyika huko Kurdistan nchini Iraq na kusema kuwa: Marekani na madola mengine ya kibeberu hayaaminiki na yanataka kuanzisha "Israel mpya" katika eneo hili.

  • Rouhani: Iran na Uturuki ni nanga ya utulivu katika eneo hili

    Rouhani: Iran na Uturuki ni nanga ya utulivu katika eneo hili

    Oct 04, 2017 12:56

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi mbili za Iran na Uturuki ni rafiki na zenye nguvu katika eneo hili na kwamba Iran na Uturuki ni nanga ya utulivu katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati.

  • Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq

    Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq

    Oct 04, 2017 04:40

    Balozi wa Iran mjini Baghdad, Iraj Masjedi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Iraq, Fuad Masoum kufutia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo ya Kiarabu, Jalal Talabani.

  • Mattis: Marekani haina budi kubakia katika makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Mattis: Marekani haina budi kubakia katika makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Oct 04, 2017 04:19

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo haina chaguo jingine ghairi ya kubakia kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran.

  • Wakuu wa Majeshi ya Iran na Uturuki wapinga kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq

    Wakuu wa Majeshi ya Iran na Uturuki wapinga kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq

    Oct 03, 2017 00:32

    Wakuu wa Majeshi ya Iran na Uturuki wametangaza bayana kupinga kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq huku wakibainisha uungaji mkono wao kwa umoja na kulindwa ardhi yote ya Iraq.

  • Ulimwengu wa Spoti, Okt 2

    Ulimwengu wa Spoti, Okt 2

    Oct 02, 2017 02:06

    Hujambo mpenzi msikilizaji na hususan ashiki wa spoti na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi. Karibu....

  • Iran: Kujitenga Kurdistan na Iraq kutalipa nguvu Daesh na Israel

    Iran: Kujitenga Kurdistan na Iraq kutalipa nguvu Daesh na Israel

    Oct 01, 2017 11:56

    Hussein Amir-Abdullahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Iran amesema hatua ya Massoud Barzani, Rais wa Serikali ya Eneo la Kurdistan ya kushinikiza kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya Iraq ni sawa na kulishajiisha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na kutumikia maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS