-
Iran na Iraq kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika mpaka wa eneo la Kurdistan
Oct 01, 2017 04:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq zimepanga kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika mpaka wa nchi hizi mbili kwenye eneo la Kurdistan kwa lengo la kuunga mkono mamlaka ya Baghdad katika eneo hilo ambalo lilipiga kura ya kujitenga na Iraq.
-
Onyo la Zarif kuhusiana na kujiondoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Sep 30, 2017 08:48Misimamo ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani inathibitisha wazi kwamba rais huyo hayuko tayari kukubali kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kikamilifu majukumu yake za mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa ufupi kama JCPOA licha ya nchi za Ulaya na hata wanasiasa mashuhuri wa nchi yake mwenyewe kuthibitisha suala hilo.
-
Shehena ya tatu ya misaada ya Iran kwa Waislamu wa Myanmar kutumwa Jumanne
Sep 29, 2017 10:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa itatuma shehena ya tatu ya misaada ya dharura kwa ajili ya Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya umati nchini Myanmar na kupata hifadhi katika nchi jirani ya Bangladesh.
-
Kuitumia vibaya IAEA, mkakati mpya wa Marekani wa kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Sep 29, 2017 10:05Hatua za Marekani za kuushinikiza Wakala wa Kimataifa wa Nishati wa Atomiki IAEA kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zimechukua mkondo mpya hivi sasa.
-
Meja Jenerali Jaafari: Iran ni nguvu kubwa katika Mashariki ya Kati
Sep 27, 2017 22:59Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, SEPAH amesema kuwa, hii leo Jamhuri ya Kiislamu imegeuka na kuwa nguvu kubwa katika Mashariki ya Kati na kwamba madola makubwa duniani yanakiri ukweli na uhakika huu.
-
Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuongeza ushirikiano wa mawasiliano na teknolojia ya habari
Sep 27, 2017 10:48Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimekubaliana kuongeza kiwango cha ushirikiano wao katika uga wa mawasiliano na teknolojia ya habari.
-
Jumanne, tarehe 26 Septemba, 2017
Sep 25, 2017 23:13leo ni Jumanne tarehe 5 Muharram 1439 Hijria sawa na tarehe 26 Septemba mwaka 2017.
-
Rais Rouhani na Erdogan wamepinga kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan, Iraq
Sep 25, 2017 03:41Marais Hassan Rouhani wa Iran na Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki wamefanya mazungumzo ya simu wakipinga katakata kura ya maoni inayofanyika katika eneo la Kurdistan kwa ajili ya kujitenga eneo hilo na Iraq na kutilia mkazo udharura wa kulindwa umoja wa ardhi yote ya nchi hiyo.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 25
Sep 25, 2017 03:40Hujambo mpenzi msikilizaji wa Radio Tehran na karibu tutupie jicho matukio kadhaa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.
-
Jeshi la Iran liko tayari kukabiliana na adui yeyote
Sep 24, 2017 01:06Naibu Kamanda wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jeshi hilo liko tayari kukabiliana na chokochoko za adui yeyeote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.