-
Taarifa ya kundi la 77 yabainisha kutiwa wasiwasi na misimamo ya Trump na kukiukwa makubaliano ya JCPOA
Sep 24, 2017 00:03Tuhuma zinazotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani na misimamo ya nchi hiyo dhidi ya Iran zimekuwa zikiongezeka kwa namna isiyo ya kawaida; tuhuma ambazo zimekabilliwa na ukosaji mkubwa wa kimataifa wakiwemo wanachama wa kundi la 77.
-
Qassemi: Trump hajui lolote isipokuwa mafuta, dola na kudansi kwa panga
Sep 23, 2017 12:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hajui lolote kuhusu dunia na eneo nyeti la Mashariki ya Kati isipokuwa fedha, mafuta na kudansi akiwa ameshika upanga.
-
Iran yafanyia majaribio kombora jipya la balistiki
Sep 23, 2017 04:38Iran imefanyia majaribio yaliyofana kombora lake jipya la masafa marefu la balistiki linalojulikana kama Khorramshahr, masaa machache tu baada ya kulizindua katika gwaride la kijeshi mjini Tehran.
-
Nchi 134 zaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran
Sep 23, 2017 04:29Nchi za Kundi la 77 (G77) zimetoa taarifa na kutangaza kuunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA huku zikisisitiza ulazima wa kuondolewa vikwazo vyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kamanda Salami: Kuingia vitani na Iran hakutakuwa na matokeo ghairi ya kushindwa
Sep 22, 2017 04:46Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) sambamba na kusisitiza kuwa kuingia vitani na Iran hakuwezi kuwa na natija nyinginge ghairi ya kushindwa amesema kuwa Wiki ya Kujilinda Kutakatifu imeleta izza ya usalama kwa taifa hili.
-
Maadhimisho ya Wiki ya Kujihami Kutakatifu Iran yaanza kwa hotuba ya Rouhani
Sep 22, 2017 04:40Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema hakuna chochote kinachoweza kuizuia Jamhuri ya Kiislamu kuendelea kuimarisha uwezo wake wa makombora na mifumo ya kiulinzi.
-
Dunia yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran, Marekani yatengwa zaidi
Sep 21, 2017 06:57Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na nchi za 5+1 kimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York kwa lengo la kutathmini utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji-JCPOA.
-
Iran yatuma shehena ya pili ya misaada ya Waislamu Warohingya
Sep 21, 2017 03:08Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena ya pili ya misaada ya dharura kwa ajili ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaopata hifadhi Bangladesh baada ya kukimbia mauaji ya kimbari katika nchi yao ya Myanmar.
-
Machaguo ya Iran mkabala na kujiondoa Trump katika makubaliano ya JCPOA
Sep 21, 2017 03:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mazingira mapya yataandaliwa na kwamba Iran inayo haki ya kuwa na chaguo lake iwapo Marekani itajiondoa katika makubaliano ya JCPOA. Rais Rouhani ameyatamka hayo alipozungumza na televisheni ya NBC ya Marekani.
-
Shehena ya pili ya misaada ya kibinaadamu ya Iran iko tayari kutumwa kwa Waislamu wa Rohingya
Sep 20, 2017 09:26Mkuu wa Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shehena ya pili ya misaada ya kibinaadamu ya Jumuiya ya Hilali Nyekundu nchini hapa, iko tayari kwa aji ya kutumwa kwenda kwa Waislamu wa Myanmar walioko Bangladesh.