Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Machaguo ya Iran mkabala na kujiondoa Trump katika makubaliano ya JCPOA

    Machaguo ya Iran mkabala na kujiondoa Trump katika makubaliano ya JCPOA

    Sep 21, 2017 03:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mazingira mapya yataandaliwa na kwamba Iran inayo haki ya kuwa na chaguo lake iwapo Marekani itajiondoa katika makubaliano ya JCPOA. Rais Rouhani ameyatamka hayo alipozungumza na televisheni ya NBC ya Marekani.

  • Shehena ya pili ya misaada ya kibinaadamu ya Iran iko tayari kutumwa kwa Waislamu wa Rohingya

    Shehena ya pili ya misaada ya kibinaadamu ya Iran iko tayari kutumwa kwa Waislamu wa Rohingya

    Sep 20, 2017 09:26

    Mkuu wa Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shehena ya pili ya misaada ya kibinaadamu ya Jumuiya ya Hilali Nyekundu nchini hapa, iko tayari kwa aji ya kutumwa kwenda kwa Waislamu wa Myanmar walioko Bangladesh.

  • Iran yatoa jibu kwa matamshi ya kilaghai ya Netanyahu katika UNGA

    Iran yatoa jibu kwa matamshi ya kilaghai ya Netanyahu katika UNGA

    Sep 20, 2017 02:58

    Mshauri wa ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema matamshi dhidi ya Iran aliyotoa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni ya kinafiki na ya kilaghai.

  • Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran

    Rais wa Ufaransa, Mkuu wa Sera za Kigeni EU watetea mapatano ya nyuklia ya Iran

    Sep 19, 2017 23:24

    Rais wa Ufaransa amesema nchi yake itatetea mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita duniani katika vikao vya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalokutana mjini New York.

  • Jumatatu tarehe 18 Septemba, 2017

    Jumatatu tarehe 18 Septemba, 2017

    Sep 18, 2017 02:14

    Leo ni Jumatatu tarehe 27 Dhulhija 1438 Hijria sawa na Septemba 18, 2017.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu uafiriti wa Marekani juu ya JCPOA

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu uafiriti wa Marekani juu ya JCPOA

    Sep 18, 2017 01:40

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran amezungumzia uafiriti na ukhabithi wa Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA na kusisitiza kuwa, kosa lolote litakalofanywa kuhusu makubaliano hayo litapata majibu kutoka kwa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ulimwengu wa Spoti, Sep. 18

    Ulimwengu wa Spoti, Sep. 18

    Sep 18, 2017 01:09

    Ufuatao ni mkusanyiko wa habari kemkem za spoti ndani ya siku saba zilizopita....

  • Misaada ya Iran yawafikia Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar

    Misaada ya Iran yawafikia Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar

    Sep 17, 2017 23:32

    Misaada ya dharura ya Iran imewafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya kimbari nchini Myanmar na ambao wamepewa hifadhi nchini Bangladesh.

  • Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya uipatie Marekani ujumbe wa wazi kabisa kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya uipatie Marekani ujumbe wa wazi kabisa kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Sep 16, 2017 09:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria ukiukaji wa Marekani wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) amesisitiza kwamba, Tehran inataraji kuuona Umoja wa Ulaya kwanza ukiyafanyia kazi kivitendo makubaliano hayo na pili, ukiishinikiza Marekani ili itekeleze kikamilifu makubaliano hayo.

  • Brigedia Jenerali Hajizadeh: Iran ina

    Brigedia Jenerali Hajizadeh: Iran ina "baba wa mabomu yote"

    Sep 16, 2017 03:47

    Kamanda ngazi za juu wa jeshi la Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina "baba wa mabomu yote" na lenye nguvu kubwa zaidi kuliko yote yasiyo ya nyuklia duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS