Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Hizbullah: Nchi za Kiarabu zishirikiane na Iran kwa maslahi ya Ghuba ya Uajemi

    Hizbullah: Nchi za Kiarabu zishirikiane na Iran kwa maslahi ya Ghuba ya Uajemi

    Feb 12, 2017 03:37

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lengo la kurejesha amani na uthabiti katika eneo hili.

  • Larijani: Umoja wa kitaifa, suluhu ya migogoro ya Syria, Yemen

    Larijani: Umoja wa kitaifa, suluhu ya migogoro ya Syria, Yemen

    Feb 12, 2017 01:34

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema njia pekee ya kuipatia ufumbuzi migogoro inayoendelea kushuhudiwa katika nchi za Syria na Yemen ni mshikamano na umoja wa kitaifa.

  • Jumapili, Februari 12, 2017

    Jumapili, Februari 12, 2017

    Feb 11, 2017 23:21

    Leo ni Jumapili tarehe 14 Jamadal-Awwal 1438 Hijria, sawa na tarehe 12 Februari 2017 Miladia.

  • Kiongozi Muadhamu: Matatizo yote ya M/Kati yanasababishwa na Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Matatizo yote ya M/Kati yanasababishwa na Marekani

    Feb 11, 2017 13:15

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, matatizo yote ya eneo la Mashariki ya Kati ni uingiliaji wa baadhi ya madola makubwa ikiwemo Marekani katika masuala ya ndani ya eneo hili.

  • Iran yawakamata magaidi wa ISIS karibu na Tehran

    Iran yawakamata magaidi wa ISIS karibu na Tehran

    Feb 11, 2017 10:36

    Iran imewakamata wafuasi wa kundi kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji mkuu Tehran.

  • Rais Rouhani: Jibu la wananchi wa Iran kwa vitisho vya adui litakuwa kali

    Rais Rouhani: Jibu la wananchi wa Iran kwa vitisho vya adui litakuwa kali

    Feb 10, 2017 12:26

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawajaondoka katika njia na harakati ya kuyaunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu na kutimiza malengo ya Imam Ruhullah Khomeini na Kiongozi wa sasa wa Mapinduzi, Ayatullah Ali Khamenei.

  • Rouhani: Uwezo wa kijeshi wa Iran ni kwa ajili ya kujihami

    Rouhani: Uwezo wa kijeshi wa Iran ni kwa ajili ya kujihami

    Feb 10, 2017 04:57

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema uwezo mkubwa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ni kwa ajili ya kujihami na kulilinda taifa hili kutokana na chockochoko za maadui.

  • SAUTI: Mahojiano kuhusu maandamano ya sherehe za mapinduzi ya Kiislamu jiji Tehran hii leo, wananchi wailaani vikali Marekani

    SAUTI: Mahojiano kuhusu maandamano ya sherehe za mapinduzi ya Kiislamu jiji Tehran hii leo, wananchi wailaani vikali Marekani

    Feb 10, 2017 04:44

    Na Ijumaa ya leo tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 10 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 38 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.

  • Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-2

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Mtazamo wa Wanafikra wa Kimagharibi-2

    Feb 09, 2017 05:12

    Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalikuwa tukio la aina yake la kisiasa na kijamii na mapinduzi makubwa ya mwisho ya karne ya 20, yakuwa na taathira kubwa katika siasa za kimataifa na matukio ya kipindi hicho, jambo ambalo liliwashangaza wachambuzi wengi wa mambo.

  • Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi

    Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi

    Feb 09, 2017 00:36

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ndoto za baadhi ya watu za kutamani kushuhudia mivutano katika msimamo wa pamoja wa Iran, Russia, Syria na Hizbullah katika vita vya ugaidi, hazitaagulika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS