-
Wapalestina: Kama si msaada wa Iran, kadhia yetu ingelikuwa imesahauliwa
Feb 08, 2017 13:13Makundi mbalimbali ya Palestina yamesisitiza kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umelisaidia mno taifa la Palestina na kuzuia kusahauliwa taifa hilo madhlumu.
-
Rouhani: Makubaliano ya nyuklia ya Iran ni kwa maslahi ya pande zote
Feb 07, 2017 11:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia kati ya Tehran na kundi la 5+1 ni kwa maslahi na manufaa ya pande zote zilizosaini mapatano hayo huko Vienna Julai mwaka 2015.
-
Ayatullah Khamenei amjibu Trump: Iran haimuogopi yeyote, Marekani isubiri majibu 10 Februari
Feb 07, 2017 10:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran litajibu vitisho vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ijayo.
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (6)
Feb 07, 2017 05:25Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio makala maalumu yanayokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, hii ikiwa ni sehemu ya sita ya mkala hizo.
-
Jibu la Iran kwa ukiukaji wa Marekani wa JCPOA, ni kurutubisha SWU laki moja
Feb 07, 2017 03:47Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa jibu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA utakaofanywa na serikali ya Marekani litakuwa ni kurutubisha Separative Work Unit (SWU) laki moja.
-
Russia: Hakutubaliani na serikali ya Trump kwamba Iran ni 'dola la kigaidi'
Feb 06, 2017 11:50Russia imesema haikubaliani na mtazamo wa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani wa kuielezea Iran kuwa ni "dola la kigaidi".
-
Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu (7)
Feb 06, 2017 06:54Hali ya kisiasa ya nchi zinazoizunguka Iran daima imekuwa ikiathiri usalama wa taifa hili. Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina mpaka ulio na urefu wa kilomita 2000 katika Ghuba ya Ujemi na bahari ya Oman, jambo ambalo lina umuhimu mkubwa wa kijiografia, kiusalama na kisiasa kwa taifa hili la Kiislamu.
-
Velayati: Marekani inafaa kuilipa fidia Iraq kwa kuivamia 2003
Feb 06, 2017 04:34Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema serikali ya Iraq inapaswa kupigania haki ya kufidiwa na Marekani katika vyombo vya kimataifa, kutokana na uvamizi wa utawala wa Washington dhidi yake mwaka 2003.
-
Ayatullah Larijani: Maadui wanaogopa Iran kuwa kigezo kwa Waislamu bilioni moja
Feb 05, 2017 23:45Mkuu wa Idara ya Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa wahka na wasiwasi mkubwa wa maadui unatokana na kuiona Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwa kigezo na ruwaza njema kwa Waislamu zaidi ya bilioni moja duniani.
-
Rouhani: Iran inakaribisha kuimarika ushirikiano wake na Brazil
Feb 05, 2017 10:54Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono azma ya Brazil ya kutaka kuimarisha uhusiano na ushirikiano wake na Tehran katika nyuga tofauti.