-
Rouhani: Iran inakaribisha kuimarika ushirikiano wake na Brazil
Feb 05, 2017 10:54Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono azma ya Brazil ya kutaka kuimarisha uhusiano na ushirikiano wake na Tehran katika nyuga tofauti.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; ishara nyingine ya kutoaminika Marekani
Feb 04, 2017 13:39Wizara ya Hazina ya Marekani jana ilitoa taarifa inayowajumuisha shakhsia 25 wa kisheria na wasio wa kisheria katika orodha ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran. Marekani imeiwekea Iran vikwazo hivyo vipya kwa kisingizio cha kufanya majaribio ya makombora.
-
Siku ya Hijabu ya Waridi yaadhimishwa nchini Tanzania
Feb 04, 2017 13:28Sherehe ya kuadhimisha Siku ya Hijabu ya Waridi imefanyika leo mjini Dar es Salaam, Tanzania kwa ushirikiano wa ofisi ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Velayati: Marekani inafanya 'makeke hewa' dhidi ya Iran
Feb 03, 2017 04:16Mkuu wa kituo cha utafiti wa kistratijia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amevielezea vitisho ilivyotoa Marekani kufuatia jaribio la kombora lililofanywa na Iran kuwa ni "makeke hewa".
-
Maonesho ya kwanza maalumu ya Iran Afrika Mashariki kufunguliwa Nairobi, Kenya
Feb 01, 2017 13:02Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema, maonyesho ya kwanza maalumu ya Iran katika Afrika Mashariki katika nyuga za utaalamu wa ujenzi, mawasiliano na teknolojia, petroli na gesi, petrokemikali, teknolojia ya viumbe hai na tiba yatafunguliwa siku ya Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo Nairobi.
-
Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kukabili ugaidi
Feb 01, 2017 04:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa kimataifa unahitajika iwapo dunia inataka natija katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Iran kuitupa sarafu ya dola baada ya maamuzi ya kibaguzi ya Trump
Feb 01, 2017 00:51Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inapanga kuacha kutumia sarafu ya dola katika taarifa rasmi za kifedha kufuatia hatua ya wakuu wa Washington kuiweka nchi hii katika orodha ya nchi saba ambazo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani.
-
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu makombora
Jan 31, 2017 10:00Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani kuhusu kubadilisha kadhia ya makombora halali ya Iran kuwa mchezo wa kisiasa.
-
Maadhimisho ya Ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu (5)
Jan 30, 2017 06:04Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokujieni kwa mnasaba wa Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini MA, hii ikiwa ni sehemu ya tano ya mfululizo huu.
-
Rouhani: Iran sio nchi yenye hofu na chuki kwa wageni
Jan 30, 2017 04:52Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia muamala na uhusiano wake mzuri na nchi zingine kwa maslahi na manufaa ya taifa hili.