-
Mali yaonyesha hamu ya kuimarisha uhusiano na Iran
Jan 30, 2017 04:13Rais wa Bunge la Kitaifa la Mali amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jeshi la Iran: Marekani ilitaka kutushambulia 1991, 2001 bila mafanikio
Jan 30, 2017 01:08Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani ilitaka kuivamia nchi hii mwaka 1991 na 2001, lakini ikashindwa kutokana na kuwa macho na uwezo wa kujihami taifa hili.
-
Iran yamwita balozi wa Uswisi kulalamikia Marekani kuwapiga marufuku Waislamu
Jan 29, 2017 10:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita Balozi wa Usiwis mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi kufuatia hatua ya rais wa Marekani kupitisha sheria za kibaguzi za kuwazuia raia wa Iran na nchi zingine sita za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Spika Larijani: Marekani imesibiwa na hali ya kujihofu yenyewe
Jan 29, 2017 04:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya karibuni ya serikali mpya ya Marekani ya kufuta utoaji viza kwa raia wa Iran inadhihirisha udhaifu na uduni wa mitazamo na mwenendo wa viongozi wa serikali hiyo.
-
Iran yalaani maamuzi ya Rais wa Marekani
Jan 29, 2017 00:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa na kulaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani wa kuzuia Waislamu kuingia nchini humo ikisema kuwa, huko ni kuuvunjia heshima waziwazi ulimwengu wa Kiislamu na taifa la Iran.
-
Iran: Sera za kibaguzi za Trump zimeirejesha Marekani katika karne za kati
Jan 28, 2017 04:16Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzuia viza za kuingia Waislamu wakiwemo Wairani katika ardhi ya Marekani ni kielelezo kwamba nchi hiyo imerejea katika zama za karne za kati, kwenye sera za kibaguzi na chuki za kidini na kikaumu.
-
Jalali: Vijana kote duniani wana hamu ya kujua Uislamu halisi
Jan 27, 2017 04:36Mwenyekiti wa Kundi la Urafiki wa Mabunge ya Iran na Mali amesema kuwa nchi za Waislamu zinalazimika kuarifisha sura halisi ya Uislamu kama dini ya upendo, amani na rehma kote duniani.
-
Araqchi: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kiusalama
Jan 25, 2017 11:18Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuweko ushirikiano baina ya mataifa mbalimbali katika uga wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na aina mbalimbali ya vitisho vya kiusalama.
-
Iran: Madai ya Al-Jubeir ni ishara ya kushindwa Aal Saud kukabiliana na irada ya Wayemeni
Jan 25, 2017 03:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Bahram Qassemi, amesema wakati inakaribia miaka miwili ya mashambulio yasiyo na tija na jinai za kivita zinazofanywa na Saudi Arabia dhidi ya raia wasio na ulinzi wa Yemen, madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia kuhusu sababu ya nchi hiyo kuanzisha hujuma na mashambulio ya kijeshi dhidi ya Yemen yanaonesha kuwa utawala wa Aal Saud umeshindwa kukabiliana na irada imara na isiyotetereka ya wananchi wa Yemen.
-
Iran na Zanzibar kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jan 24, 2017 04:47Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Utalii wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar nchini Tanzania amesema kutangazwa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran kuwa mji mkuu wa kiutamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu utaandaa mazingira ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zanzibar.