-
Mazungumzo ya Astana; ubunifu wa kieneo kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Jan 23, 2017 09:47Mji mkuu wa Kazakhstan, Astana, leo na kesho ni mwenyeji wa mazungumzo ya Wasyria kwa Wasyria chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.
-
Jumatatu 23 Januari, 2017
Jan 23, 2017 02:07Leo ni Jumatatu tarehe 24 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 23, 2017.
-
Iran na Russia zafanya mashauriano kabla ya kikao cha kujadili mgogoro wa Syria
Jan 22, 2017 12:40Kikao cha pili cha jumbe za wawakilishi wa Iran na Russia kimefanyika katika mji mkuu wa Kazakhstan, Astana kujadili njia za utatuzi wa mgogoro wa Syria. Kikao hicho cha mashauriano kimefanyika leo katika hoteli ya Marriott iliyoko mjini humo.
-
Meli za mafuta za Iran zarejea barani Ulaya
Jan 18, 2017 13:26Meneja wa Shirika la Taifa la Meli za Mafuta la Iran amesema kuwa, meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimerejea kwenye bandari za barani Ulaya.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-3
Jan 18, 2017 05:08Sehemu ya leo ya makala hii itatupia jicho ukurasa wa tatu wa maisha Ayatullah Rafsanjani baada ya kumalizika vita vya kulazimishwa hadi alipofariki dunia zaidi ya moja moja iliyopita.
-
Utawala wa Bahrain wazidi kukosolewa kwa kuwanyonga wanaharakati
Jan 17, 2017 04:06Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amelaani hatua ya Bahrain ya kuwanyonga vijana watatu wanaharakati wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la mwaka 2014, huku akikosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya ukatili huo.
-
Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima
Jan 16, 2017 00:22Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.
-
Rouhani: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano wake na Albania
Jan 15, 2017 11:09Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kipindi hiki cha baada ya vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa hili sambamba na kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya Vienna ni mwafaka kwa kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na Albania.
-
Iran kufuatilia kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara katika mazungumzo na Saudia
Jan 15, 2017 00:20Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara wa Iran amesema, katika vikao kadhaa vya ndani kuhusiana na mazungumzo yajayo na Saudi Arabia juu ya ajenda kuu ya amali za Hija, imeamuliwa kufuatilia masuala ya usalama, suhula na kadhia muhimu ya ufuatiliaji wa kisheria na kudai fidia na dia za wafanyaziara wa Kiirani waliofariki katika Msikiti Mtukufu wa Makka na eneo la Mina.
-
Rais wa Nigeria aomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 14, 2017 03:42Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amemtumia salamu za rambi rambi mwenzake wa Iran kufuatia kuaga dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran.