-
Rais Teshome atoa wito wa kuimarishwa uhusiano wa Ethiopia na Iran
Jan 13, 2017 04:02Rais Mulatu Teshome wa Ethiopia amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa pande mbili kati ya Tehran na Addis Ababa.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:40Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Rafsanjani, Mwanasiasa wa Aina Yake-1
Jan 12, 2017 05:39Habari iliyotangazwa saa moja na nusu usiku wa Jumapili tarehe 8 mwezi huu wa Januari kwa wakati wa Tehran iliwatia simanzi na huzuni kubwa mamilioni ya Wairani na wapenzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Zarif asisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano wa Kiislamu
Jan 12, 2017 00:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu
-
Mali yasema msimamo wake na Iran ni mmoja kuhusu kadhia ya Palestina
Jan 11, 2017 12:00Rais wa Bunge la Kitaifa la Mali amesema msimamo wa nchi yake kuhusu kadhia ya Palestina unafanana na wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na amekashifu mienendo ya Umoja wa Mataifa dhidi ya taifa hilo la Kiarabu kwa miaka kadhaa sasa.
-
Kiongozi Muadhamu aongoza Swala ya maiti ya Ayatullah Rafsanjani
Jan 10, 2017 04:50Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhmaa Ali Khamenei ameongoza Swala ya maiti ya marehemu Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani, rais wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Baadhi ya picha za Marhum Ayatullah Hashemi Rafsanjani katika matukio tofauti
Jan 09, 2017 13:30Hapa tumekuorodhesheeni baadhi ya picha alizopigwa Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye matukio tofauti. Ayatullah Rafsanjani amefariki dunia Jumapili tarehe 8 Januari 2017 akiwa na umri wa miaka 82
-
Rais wa Afrika Kusini atoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 09, 2017 12:52Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametoa ujumbe wa rambirambi kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Iran na Spika Mstaafu wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 9
Jan 09, 2017 02:58Mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo ndani ya siku saba zilizopita......
-
Vyuo vikuu vitatu vya Iran vyaingia katika vyuo bora 500 duniani
Jan 08, 2017 04:25Chuo Kikuu cha Zanjan, Ferdous cha Mash'had na chuo kikuu cha Tehran vimeingia katika orodha ya taasisi ya mfumo bora wa kielimu duniani ya 'Green Metric'