-
Mottaki: Umoja wa Waislamu unawatia kiwewe maadui
Jan 07, 2017 03:47Naibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuyakurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu katika masuala ya Iran amesema umoja na mshikamano wa Waislamu umewakosesha usingizi maadui wa dini hii tukufu.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Mandela ni nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi
Jan 05, 2017 04:10Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtaja hayati mzee Nelson Mandela kuwa nembo ya mapambano dhidi ya ukandamizaji na ubaguzi wa rangi.
-
Iran yakanusha madai ya kukataa kutuma mahujaji mwaka huu
Jan 04, 2017 12:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai yanayosema kuwa, Tehran imekataa kutuma mahujaji wake mwaka huu na kusema kuwa madai hayo hayana ukweli wowote.
-
Dakta Veleyati: Katu Iran haitolitelekeza taifa la Syria
Jan 04, 2017 04:09Ali Akbar Velayati, Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei amesema hakuna siku Jamhuri ya Kiislamu itawatelekeza wananchi na serikali ya Syria.
-
Sayansi na Teknolojia
Jan 04, 2017 04:07Karibuni katika mjumuiko huu mpya wa vipindi ambavyo vinaangazia maendeleo mapya katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba duniani na hasa nchini Iran. Karibuni kujiunga nasi ambapo leo tutaangazia mafanikio ya wanasayansi wa Iran katika kutengeneza chombo cha kutibu magonjwa ya ubongo kama vile Parkinson kati ya mengine. Karibu kujiunga nami hadi mwisho.
-
Bunge la Iran latoa tamko kwa mnasaba wa mwaka mmoja wa kuuawa shahidi Sheikh Nimr
Jan 03, 2017 11:05Kwa mara nyingine wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (yaani bunge) wamelaani vikali adhabu ya kifo dhidi ya Sheikh Nimr Baqir an-Nimri, msomi wa kidini na mwanamapambano wa Saudia iliyotolewa na utawala wa kifalme wa nchi hiyo mwaka mmoja uliopita.
-
Rouhani: Iran inapinga jaribio lolote la kuzigawa nchi za Mashariki ya Kati
Jan 02, 2017 03:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hii leo nchi nyingi zimekiri na kukubali mchango na nafasi yenye taathira kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu katika kuimarisha amani na utulivu kwenye eneo la Mashariki ya Kati na kwamba, Iran imekwamisha njama za kutaka kuzigawa nchi za ene hilo.
-
Iran yakanusha kupokea barua ya Saudia ya mwaliko wa Hija
Jan 01, 2017 13:07Mkuu wa Shirika la Hija na Ziara la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai ya Saudi Arabia kuwa imetuma barua ya mwaliko kwa Iran wa kushiriki kwenye Hija ya mwaka ujao.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi Uturuki, idadi ya waliouawa yaongezeka
Jan 01, 2017 04:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Istanbul nchini Uturuki.
-
Rais Rouhani: Iran inakaribisha kustawisha uhusiano na Umoja wa Ulaya
Dec 31, 2016 23:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran inakaribisha kwa mikono miwili ushirikiano katika nyuga zote na Umoja wa Ulaya ikiwemo nchi ya Romania.