-
Saudia yaomba kufanya mazungumzo na Iran kuhusu Hija
Dec 30, 2016 12:10Imedokezwa kuwa Saudi Arabia imeiomba Iran kushiriki katika mazungumzo ya kujadili suala la kuwawezesha tena Wairani kutekeleza ibada ya Hija.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Iran haitishiki na vitisho vya aina yoyote
Dec 30, 2016 01:19Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, vitisho havina athari yoyote ile kwa moyo wa kijihadi wa taifa la Iran.
-
Sayansi na Teknolojia Mpya (1)
Dec 29, 2016 08:43Karibuni katika mujmuiko huu mpya wa vipindi ambavyo vinaangazia maendeleo mapya katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba. Karibuni kujiunga nasi hadi mwisho ambapo leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika kuzalisha dawa ambayo Marekani tu ndiyo iliyokuwa na teknoljia hiyo duniani.
-
9 Dei, Siku ya Mwamko na Kushikamana na Wilaya
Dec 29, 2016 07:54Ni jambo linalojulikana na wanadamu wote kwamba, hakuna mtu anayeweza kuainisha jinsi ya kuzaliwa au kufariki kwake dunia. Hata hivyo jamii ambayo kama alivyo mwanadamu, inazaliwa na kufa, huwa na taathira katika kubakia hai na katika kufa kwake.
-
Ayatullah Shirazi: Siasa za leo duniani zimejaa uwongo na unafiki
Dec 28, 2016 23:10Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa kidini nchini Iran amekosoa anga ya kisiasa inayotawala dunia hivi sasa akisisitiza kuwa siasa hizo za kimataifa zimegubikwa na hadaa na unafiki.
-
Luteka ya kijeshi Iran yakamilika kwa kufanyiwa majaribio kombora la S-200
Dec 28, 2016 23:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio kwa mafanikio kombora la masafa marefu la nchi kavu kuelekea angani la S-200, katika siku ya mwisho ya luteka ya kijeshi iliyofanyika kusini mwa nchi jana Jumatano.
-
Iran yatuma misaada zaidi ya kibinaadamu Aleppo, Syria
Dec 27, 2016 11:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena zingine mbili za misaada ya kibinadamu katika mji wa Aleppo (Halab) uliokombolewa hivi karibuni kutoka mikononi mwa magaidi wakufurishaji.
-
Velayati: Iran ni kimbilio salama la Waislamu wote
Dec 27, 2016 11:42Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislami ni kimbilio na nchi salama zaidi kwa Waislamu wote.
-
AFP: Wafuasi wa dini za wachache wana usalama mkubwa nchini Iran
Dec 26, 2016 03:54Shirika la habari la Ufaransa AFP limetangaza kuwa, wafuasi wa dini za wachache wakiwemo Wakristo wanaishi kwa usalama mkubwa nchini Iran na kwamba nchi hiyo ni katika nchi zenye usalama mkubwa zaidi kwa watu wa dini za wachache kwenye eneo la Mashariki ya Kati.
-
Mazoezi makubwa ya kijeshi yaanza kusini mwa Iran
Dec 26, 2016 00:59Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo yanaanza mazoezi makubwa katika eneo la kusini mwa nchi.