-
Iran yakaribisha hatua ya Baraza la Usalama dhidi ujenzi wa vitongoji vya Israel
Dec 25, 2016 04:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Kamanda wa IRGC: Saudia na utawala wa Kizayuni zinafanya njama za kuvuruga usalama Iran
Dec 24, 2016 12:03Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya njama za kuvuruga amani na usalama nchini.
-
Rais wa Lebanon apongeza nafasi ya Iran katika eneo
Dec 24, 2016 04:19Rais Michel Aoun wa Lebanon amepongeza na kusifu nafasi ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imechangia pakubwa kupatiwa ufumbuzi migogoro mbalimbali katika eneo.
-
Jumamosi, Disemba 24, 2016
Dec 23, 2016 23:44Leo ni Jumamosi tarehe 24 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 mwafaka na tarehe 24 Desemba 2016 Miladia.
-
Ayatullah Siddiqi: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Waislamu wote duniani
Dec 23, 2016 12:55Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amepongeza wanajeshi wa Syria na vikosi vya vya kujitolea vya wananchi kwa kuukomboa mji wa Aleppo (Halab) uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria, na kubainisha kuwa, ushindi huo sio tu wa taifa la Syria bali ni ushindi pia kwa Waislamu wote duniani.
-
Iran na Kyrgyzstan zasaini hati tano za mapatano ya ushirikiano
Dec 23, 2016 03:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Ijumaa amekutana na Rais Almazbek Atambayev wa Kyrgyzstan katika ikulu ya rais huyo mjini Bishkek na kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha uhusiano wa pande pamoja na masuala mbalimbali ya kieneo na kimataifa.
-
Assad: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Syria, Iran na Russia
Dec 22, 2016 11:15Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi ni ushindi mkubwa sio tu kwa taifa hilo, bali pia kwa Iran na Russia.
-
Iran kurusha satalaiti tatu anga za mbali
Dec 22, 2016 03:30Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepanga kutuma satalaiti zingine tatu katika anga za mbali katika kipindi cha miezi mitatu ijayo.
-
Iran na Armenia zasaini hati tano za ushirikiano
Dec 21, 2016 10:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia zimesaini hati tano za mapatano na makubaliano ya ushirikiano kwa kuhudhuriwa na Marais wa Iran Hassan Rouhani na mwenzake wa Armenia, Serzh Sargsyan.
-
Iran yalaani azimio la Canada dhidi yake katika Umoja wa Mataifa
Dec 21, 2016 00:21Iran imelaani azimio lililopitishwa dhidi yake katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu.