Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran, UN zalaani mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki

    Iran, UN zalaani mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki

    Dec 20, 2016 04:23

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya balozi wa Russia nchini Uturuki na kuutaja ukatili huo kama kitendo cha kikatili na kishenzi.

  • Rouhani: Iran kuimarisha uhusiano wake na Niger

    Rouhani: Iran kuimarisha uhusiano wake na Niger

    Dec 19, 2016 04:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Rais wa Niger Mahamadou Issoufou, kwa mnasaba wa kuadhimishwa Siku ya Taifa ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Iran yaishukuru Kenya kwa kuwaachia huru raia wake waliokamatwa kimakosa

    Iran yaishukuru Kenya kwa kuwaachia huru raia wake waliokamatwa kimakosa

    Dec 16, 2016 04:51

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeishukuru serikali ya Kenya kwa kuwaachia huru mawakili wawili raia wa nchi hii waliokamatwa kimakosa na polisi katika mji mkuu Nairobi, wiki mbili zilizopita.

  • Mufti Mkuu wa Syria aishukuru Iran kwa misaada yake

    Mufti Mkuu wa Syria aishukuru Iran kwa misaada yake

    Dec 15, 2016 10:48

    Mufti Mkuu wa Syria ameishukuru Iran kwa misaada yake kwa wakazi wa mji wa Halab (Aleppo) kaskazini mwa Syria.

  • Iran na Indonesia kuimarisha usalama katika ulimwengu wa Kiislamu

    Iran na Indonesia kuimarisha usalama katika ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 14, 2016 10:51

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Indonesia zina nafasi ya kipekee ya kuimarisha usalama katika eneo na ulimwengu wa Kiislamu kwa ujumla.

  • Rais Museveni apongeza uhusiano mzuri wa Uganda na Iran

    Rais Museveni apongeza uhusiano mzuri wa Uganda na Iran

    Dec 14, 2016 10:41

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepokea vitambulisho vya balozi mpya wa Iran nchini humo na kupongeza uhusiano mzuri uliopo baina ya Tehran na Kampala.

  • Iran na Afrika Kusini zasaini hati ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi

    Iran na Afrika Kusini zasaini hati ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi

    Dec 14, 2016 04:27

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimetia saini hati ya maelewano ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi.

  • Marekani: Uamuzi wa Iran wa kutengeneza vifaa endeshi vya nyuklia haukiuki JCPOA

    Marekani: Uamuzi wa Iran wa kutengeneza vifaa endeshi vya nyuklia haukiuki JCPOA

    Dec 14, 2016 04:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekania amesema kuwa agizo lililotolewa na Rais wa Iran kuhusu vifaa endeshi vya nyuklia halikiuki makubaliano ya JCPOA.

  • Jeshi la Iran lazindua drone za kivita, upelelezi

    Jeshi la Iran lazindua drone za kivita, upelelezi

    Dec 13, 2016 12:46

    Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua ndege zisizo na rubani (drone) mbili zilizotengenezwa hapa nchini zenye uwezo wa kivita na upelelezi.

  • Iran: Itibari ya JCPOA inategemea kuheshimiwa makubaliano hayo na pande zote

    Iran: Itibari ya JCPOA inategemea kuheshimiwa makubaliano hayo na pande zote

    Dec 13, 2016 04:39

    Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kufanikiwa makubaliano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za kundi la 5+1 kunategemea iwapo pande zote zitayaheshimu na kuyatekeleza makubaliano hayo ipasavyo au la.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS