-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tumejiweka tayari kujibu chokochoko zozote za Israel
Jul 10, 2025 10:14Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh amesema Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu vimejipanga kikamilifu kutoa jibu kali kwa chokochoko zozote zitakazofanywa na utawala mtendaji jinai wa kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake wa Magharibi.
-
'Umoja kati ya dini za Ibrahim ndilo jibu pekee kwa dhulma duniani'
Jul 09, 2025 15:14Umoja miongoni mwa dini za Nabii Ibrahim AS ndilo jibu pekee la ufanisi mkabala wa kuongezeka kwa dhulma na ukosefu wa haki na uadilifu duniani.
-
Bunge la Ujerumani latilia shaka uhalali wa mashambulizi ya US, Israel dhidi ya Iran
Jul 09, 2025 14:56Huenda mashambulio ya Israel na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran mwezi uliopita yalikiuka sheria za kimataifa, kwa mujibu wa ripoti ya wataalamu wa bunge la Ujerumani iliyonukuliwa na shirika la habari la dpa.
-
Grossi: Uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuzimwa kwa mabavu
Jul 09, 2025 12:26Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati wa Atomiki IAEA amesema kuwa, mpango wa nyuklia wa Iran, nchi yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiviwanda na kiteknolojia hauwezi kuzimwa kwa hatua za kijeshi wala hatua zozote za mabavu.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wafanya mazungumzo mjini Makka
Jul 09, 2025 04:47Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana na kufanya mazungumzo katika mji mtukufu wa Makka nchini Saudi Arabia.
-
Iran: Trump anaongopa kudai kuwa tumeomba tufanye mazungumzo
Jul 08, 2025 13:14Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekanusha vikali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kwamba Tehran imeomba kufanyike mazungumzo, ikiikashifu Washington kwa kubuni madai yasiyo na msingi ili kuficha kushindwa kwake.
-
Meja Jenerali Mousavi: Jeshi la Iran lilikabiliana na uvamizi wa Israel, US kwa 'nguvu kamili'
Jul 08, 2025 10:21Kamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Iran amesema Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu vilikabiliana na uvamizi wa Israel na Marekani kwa nguvu na uwezo kamili wa kijeshi wakati wa mashambulizi ya kichokozi ya mwezi uliopita ya Tel Aviv na Washington.
-
Israel inataka kuanzisha tena vita, Iran iko kwenye hali ya utayari kamili
Jul 07, 2025 13:46Chanzo kimoja cha habari cha Iran kimeiambia chaneli ya Press TV kwamba utawala wa kizayuni wa Israel unataka vita viendelee na Rais wa Marekani Donald Trump anaonekana kuunga mkono suala hilo.
-
Jenerali Shekarchi: Iran itatoa jibu la kuponda zaidi iwapo Israel itaishambulia tena
Jul 07, 2025 08:02Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran ameonya kuwa, Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu viko tayari kufanya mashambulizi yenye nguvu na ya maangamizi zaidi dhidi ya vitendo vyovyote vya kichokozi vitakavyofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya taifa hili.
-
Mshauri wa IRGC: Uwezo mkubwa wa ulinzi wa Iran bado haujaonyeshwa
Jul 07, 2025 03:03Mshauri mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, Brigedia Jenerali Ebrahim Jabbari amesema kuwa silaha, zana za kijeshi na vituo vingi vya ulinzi vya Iran bado havijaonyeshwa na kuwekwa paruwanja.