Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • "Kuuawa viongozi wa Muqawama hakutadhoofisha mapambano dhidi ya Wazayuni"

    Oct 19, 2024 03:50

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema mauaji ya kigaidi ya viongozi na makamanda wa kambi ya Muqawama hayatadhoofisha mapambano ya taifa hili la Kiislamu dhidi ya dhulma na uvamizi.

  • Iran: US itabeba dhima ya shambulio lolote la Israel dhidi yetu

    Iran: US itabeba dhima ya shambulio lolote la Israel dhidi yetu

    Oct 19, 2024 03:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Kamal Kharrazi: Uungaji mkono wa EU kwa UAE ni uadui wa wazi dhidi ya Iran

    Kamal Kharrazi: Uungaji mkono wa EU kwa UAE ni uadui wa wazi dhidi ya Iran

    Oct 18, 2024 23:34

    Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amekosoa uingiliaji kati wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa malengo yasiyofaa na kuunga mkono madai ya Imarati kuhusu visiwa vitatu vya Iran, na amewatahadharisha viongozi wa Imarati kwamba waache uadui wao na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran na Misri zajadili masuala ya kikanda na kimataifa

    Iran na Misri zajadili masuala ya kikanda na kimataifa

    Oct 17, 2024 23:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi; ambapo wamejadili masuala muhimu ya kikanda na uhusiano wa pande mbili.

  • Onyo la Russia kwa Israel: Msithubutu kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran

    Onyo la Russia kwa Israel: Msithubutu kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran

    Oct 17, 2024 23:22

    Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel na kuutaka usijaribu hata kufikiria kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran.

  • Meja Jenerali Salami: Wazayuni wakifanya kosa, jibu letu litakuwa la kuumiza sana

    Meja Jenerali Salami: Wazayuni wakifanya kosa, jibu letu litakuwa la kuumiza sana

    Oct 17, 2024 08:14

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (SEPAH) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel na viongozi wake wanapaswa kutambua kuwa, Operesheni ya Ahadi ya Kweli-2 lilikuwa onyo tu na kama Israel itakosea na kuthubutu kufanya uvamizi, jibu la Iran litakuwa la kuumiza sana.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya

    Oct 16, 2024 23:25

    Waziri wa Ulinzi wa Iran ameeleza kuwa mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya na kwamba Iran unalichukulia suala hilo kuwa ni sehemu ya vita vya kisaikolojia na sio tatizo mahsusi.

  • Iran yazitaka nchi za Shanghai kuwa jadi dhidi ya jinai za Israel na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

    Iran yazitaka nchi za Shanghai kuwa jadi dhidi ya jinai za Israel na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani

    Oct 16, 2024 23:24

    Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mkutano wa Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Pakistan ameitaka jumuiya hiyo kuwa jadi na kuchukua hatua madhubuti dhidi ya chokochoko za utawala wa Kizayuni na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani. Amezitaka nchi wanachama wa Shanghai kuchukua hatua za kivitendo ili kukabiliana na vikwazo vya kibiashara vya pande zote.

  • Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

    Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

    Oct 16, 2024 10:00

    White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni.

  • Ghalibaf: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusitisha ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi na utawala wa Kizayuni

    Ghalibaf: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusitisha ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi na utawala wa Kizayuni

    Oct 13, 2024 22:53

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tunahitaji kukkomesha aina yoyote ya ushirikiano, msaada na mazungumzo na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusimamisha aina yoyote ya mpango wa kisiasa na kiuchumi unaousaidia utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS