Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Araqchi akanusha Iran kuipatia Russia makombora ya balistiki

    Araqchi akanusha Iran kuipatia Russia makombora ya balistiki

    Oct 13, 2024 09:28

    Iran kwa mara nyingine tena imekadhibisha madai kuhusu kuipatia Russia makombora ya balistiki kufuatia ripoti kwamba Umoja wa Ulaya utatumia tuhuma hizo kama kisingizio cha kuwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu.

  • Iran yakanusha madai ya kuhusika na operesheni ya Wapalestina ya Kimbunga cha Al Aqsa

    Iran yakanusha madai ya kuhusika na operesheni ya Wapalestina ya Kimbunga cha Al Aqsa

    Oct 13, 2024 03:40

    Ujumbe wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa na taarifa kuhusu Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyotekelezwa mwaka jana na wapigania ukombozi wa Palestina dhidi ya utawala wa Israel.

  • Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa nchi zitakazokubali kutumiwa kutushambulia

    Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa nchi zitakazokubali kutumiwa kutushambulia

    Oct 12, 2024 23:14

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo dhidi ya nchi ambazo zitaruhusu anga na ardhi zao zitumiwe kulishambulia taifa hili.

  • Iran: Walimwengu wachukue hatua kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni

    Iran: Walimwengu wachukue hatua kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni

    Oct 12, 2024 03:52

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, walimwengu wanapaswa kuchukua hatua za pamoja kukabiliana na hatua za kishari na jinai za utawala haramu wa Israel.

  • Rais wa Iran asisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu

    Rais wa Iran asisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu

    Oct 11, 2024 07:48

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesisitiza haja ya umma wa Kiislamu kuwa na umoja na mshikamano na kubainisha kwamba, migawanyiko kati ya Waislamu itawanufaisha maadui pekee.

  • Iran yakosoa tuhuma zisizo na msingi za Uingereza

    Iran yakosoa tuhuma zisizo na msingi za Uingereza

    Oct 09, 2024 10:29

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amejibu madai ya afisa wa usalama wa Uingereza akisema: Maafisa wa serikali ya London wanapaswa kutumia ushawishi wao kusimamisha uchokozi na jinai za utawala ghasibu wa Israel badala ya kutoa tuhuma zisizo na msingi na mijadala ya kupotosha.

  • Rais wa Iran akosoa uungaji mkono wa US, EU kwa jinai za Israel

    Rais wa Iran akosoa uungaji mkono wa US, EU kwa jinai za Israel

    Oct 08, 2024 08:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezikosoa vikali Marekani na nchi za Ulaya kwa kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala khabithi wa Israel.

  • Yajue makombora ambayo Iran iliyatumia katika ‘Operesheni ya Ahadi ya Kweli II’ dhidi ya Israel

    Yajue makombora ambayo Iran iliyatumia katika ‘Operesheni ya Ahadi ya Kweli II’ dhidi ya Israel

    Oct 07, 2024 13:43

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika uga wa ulinzi.

  • Iran yanakusha madai ya kuvuruga usalama katika Bahari Nyekundu

    Iran yanakusha madai ya kuvuruga usalama katika Bahari Nyekundu

    Oct 06, 2024 22:51

    Mwakilishi wa Iran katika Kamati ya Ulinzi wa Mazingira ya Baharini (MEPC) amekadhibisha madai yaliyotolewa na Marekani dhidi ya Iran kuhusu usalama wa Bahari Nyekundu.

  • Jenerali Naqdi: Tutaishtaki US kwa kupuuza Mkataba wa Algiers

    Jenerali Naqdi: Tutaishtaki US kwa kupuuza Mkataba wa Algiers

    Oct 06, 2024 22:50

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Ulinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC anayesimamia masuala ya uratibu amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itafungua kesi dhidi ya Marekani mwezi ujao kwa kushindwa kwake kutekeleza Mkataba wa Algiers kuhusiana na kurejeshwa mali za Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS