Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini

    Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini

    Jul 24, 2023 08:02

    Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Iran yuko nchini Afrika Kusini kushiriki mkutano wa ngazi ya juu wa usalama wa nchi kundi la BRICS.

  • Misri: Tuna hamu ya kuwa na uhusiano chanya na Iran

    Misri: Tuna hamu ya kuwa na uhusiano chanya na Iran

    Jul 20, 2023 00:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri ameitaja Iran kama nchi kubwa na yenye ushawishi katika eneo na kusisitiza kuwa, maingiliano baina ya nchi mbili hizi hayajawahi kuvunjika.

  • Mtaalamu: Iran imepata ushindi wa kidiplomasia barani Afrika wakati huu wa mzozo wa madola makubwa

    Mtaalamu: Iran imepata ushindi wa kidiplomasia barani Afrika wakati huu wa mzozo wa madola makubwa

    Jul 15, 2023 06:48

    Mtafiti wa masuala ya kisiasa Idris Ehmid amesema kuwa, Iran inataka kuendeleza uhusiano wake na kujenga zaidi madaraja ya ushirikiano na bara la Afrika na ushahidi wa wazi ni ziara ya Rais Ebrahim Raisi katika nchi tatu za Afrika.

  • Balozi wa Iran nchini Kenya: Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kupanua ushirikiano na nchi za Afrika

    Balozi wa Iran nchini Kenya: Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kupanua ushirikiano na nchi za Afrika

    Jul 14, 2023 04:32

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema kuwa utendaji wa Serikali ya Awamu ya 13 umekuwa na mafanikio katika kupanua ushirikiano na Kenya.

  • Raisi: Uporaji mali za Waafrika na kuwageuza watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho

    Raisi: Uporaji mali za Waafrika na kuwageuza watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho

    Jul 14, 2023 01:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha dini mbalimbali kilichofanyika katika Msikiti wa Taifa wa Uganda kuwa: uporaji mali za Waafrika na kuwafanya watumwa ni matokeo ya siasa zisizojali masuala ya kiroho.

  • Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika

    Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari ya Rais wa Iran barani Afrika

    Jul 13, 2023 22:44

    Rais Ibrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu jana Alkhamisi aliwasili Harare mji mkuu wa Zimbabwe ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo akiwemo mwenyeji wake, Rais Emerson Mnangagwa.

  • Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika

    Rais wa Iran awasili Zimbabwe, kituo cha mwisho cha safari yake ya kiduru Afrika

    Jul 13, 2023 06:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewesili Harare mji mkuu wa Zimbabwe kikiwa ni kituo chache cha tatu na cha mwisho katika safari yake hii ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.

  • Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara

    Rais Raisi: Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara

    Jul 13, 2023 10:47

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe kuwa Iran na Zimbabwe zimeazimia kuendeleza biashara.

  • Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya

    Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"

    Jul 13, 2023 08:04

    Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"

  • Waislamu wa Uganda walivyompokea Rais wa Iran +VIDEO

    Waislamu wa Uganda walivyompokea Rais wa Iran +VIDEO

    Jul 13, 2023 07:50

    Katika safari yake nchini Uganda, kabla ya kuelekea Zimbabwe, Rais Ebrahim Raisi alipokewa na shangwe na furaha na Waislamu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS