Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Marekani

  • Pompeo aendelea kutishia: Tutaendeleza mashinikizo dhidi ya Iran

    Pompeo aendelea kutishia: Tutaendeleza mashinikizo dhidi ya Iran

    Aug 29, 2019 03:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amesema kuwa mashinikizo dhdi ya Iran yataendelea hadi hapo nchi hii itakapobadili mwelekeo wake.

  • New York Times yafichua malengo ya majasusi wa CIA kuhusu biashara na miamala ya mafuta ya Iran

    New York Times yafichua malengo ya majasusi wa CIA kuhusu biashara na miamala ya mafuta ya Iran

    Aug 09, 2019 06:19

    Gazeti moja la Marekani limefichua kwamba mtandao wa kijasusi ambao wanachama wake walikamatwa na Iran siku chache zilizopita ulikuwa ukifanya kazi ya kukusanya taarifa za kijasusi kuhusu biashara na miamala ya mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Wendy Sherman akosoa hatua ya serikali ya Trump ya kumuwekea vikwazo Zarif

    Wendy Sherman akosoa hatua ya serikali ya Trump ya kumuwekea vikwazo Zarif

    Aug 01, 2019 08:01

    Naibu wa zamani wa waziri wa ya mambo ya nje wa Marekani, Wendy Sherman, amekosia hatua ya serikali ya rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ya kumuwekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif akisema kuwa inatoa pigo kwa mwenendo wa kidiplomasia.

  • Sisitizo la Pompeo kuhusu nafasi ya Saudia katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Sisitizo la Pompeo kuhusu nafasi ya Saudia katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Jul 27, 2019 06:22

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imezingatia sana eneo la Ghuba ya Uajemi na nchi za kusini mwa eneo hili hususan Saudi Arabia, ambapo imetiliana nayo saini mikataba ya mauzo ya silaha ambayo ilikuwa haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.

  • National Interest: Iran inao uwezo wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani

    National Interest: Iran inao uwezo wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani

    Jul 14, 2019 05:59

    Jarida la National Interest la nchini Marekani limetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, Iran ina uwezo wa kutosha wa kukabiiana na vikwazo vya Washington na kuendelea na siasa zake za ndani na nje kwa usalama na kwa mafanikio.

  • "Video iliyosambazwa na Marekani kuhusu mashambulizi ya meli za mafuta Bahari ya Oman ni bandia"

    Jun 30, 2019 21:01

    Mkuu wa kundi la mrengo wa kushoto katika bunge la Ujerumani (Bundestag) amesema kuwa mkanda wa video uliosambazwa na viongozi wa Marekani na kudai kuwa ni uthibitisho wa eti kuhusika Iran katika shambulizi dhidi ya meli za mafuta katika Bahari ya Oman ni feki na bandia.

  • Kushindwa ndege ya ujasusi ya Global Hawk, mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani

    Kushindwa ndege ya ujasusi ya Global Hawk, mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani

    Jun 30, 2019 20:59

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya sheria na ya kimataifa amesema kuwa, Tehran imeishitaki Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutokana na ndege yake ya ujasusi ya Global Hawk kukiuka anga yake.

  • Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani atoa matamshi yenye mgongano kuhusu Iran

    Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani atoa matamshi yenye mgongano kuhusu Iran

    Jun 26, 2019 07:50

    Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani ametoa matamshi ynayogonga na kudai kwamba anata kufunga mlango wa vita na Iran na badala yake kufungua mlango eti wa udiplomasia na nchi hii.

  • Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran

    Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran

    Jun 24, 2019 03:34

    Utawala wa Marekani unaendelea kuchanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran na hali hiyo ilifikia kilele chake baada ya ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi ya Marekani kutunguliwa na vikosi vya kijeshi vya Iran Alhamisi iliyopita.

  • Hizbullah ya Lebanon: Marekani haithubutu kuanzisha vita dhidi ya Iran

    Hizbullah ya Lebanon: Marekani haithubutu kuanzisha vita dhidi ya Iran

    Jun 14, 2019 02:09

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa vitisho vya Marekani dhidi ya Iran na kulegeza msimamo Trump mbele ya Tehran ni mambo yanayoonesha kuwa Washington haina uthubutu wa kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS