-
Afisa wa zamani wa White House: Trump ataifanya Iran ijitoe NPT
Jan 21, 2020 00:16Afisa mmoja wa zamani wa Ikulu ya Marekani, White House ametahadharisha kwamba, siasa mbovu na ghalati za rais wa nchi hiyo Donald Trump zinaisukuma Iran kwenye kujitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.
-
Ujerumani: Marekani imeshindwa katika makabiliano yake na Iran
Jan 20, 2020 02:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amekosoa siasa za uhasama za White House dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu ya Washington dhidi ya Tehran hazina natija.
-
Esper akadhibisha madai ya Trump kuhusu sababu za mauaji ya Jenerali Soleimani, asema hayana msingi
Jan 13, 2020 12:57Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Mark Esper, amekadhibisha madai yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba Luteni Jenerali Qassem Soleimani alikuwa akipanga mashambulizi dhidi ya balozi nne za Marekani.
-
Trump na madai ya kizandiki ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran
Jan 13, 2020 07:57Ijapokuwa tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 Marekani siku zote imekuwa ikiamiliana kiuadui na kiuhasama na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, lakini Donald Trump, rais afriti aliyeko madarakani hivi sasa nchini humo, yeye ametia fora na kufurutu mpaka, kwa uadui ambao haujawahi kushuhudiwa, anaoifanyia Iran na wananchi wake.
-
Scott Ritter: Trump amelegeza msimamo kwa kuogopa jibu kali la Iran
Jan 11, 2020 04:51Scott Ritter, aliyewahi kuwa mkaguzi wa silaha wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo na kuachana na vitisho vyake alivyovitoa hapo kabla dhidi ya Iran kutokana na kuhofia jibu kali la Tehran.
-
Jenerali wa Marekani: Iran ina mbinu nyingi na hatari sana za kupambana na Marekani
Jan 04, 2020 17:05Barry McCaffrey, Jenerali wa Zamani wa Jeshi la Marekani amekiri kwamba Wairan wana mbinu nyingi na hatari sana za kijeshi kwa ajili ya kupambana na Marekani.
-
Marekani yaizuia Korea Kusini kutuma vifaa vyake vya kitiba nchini Iran
Dec 15, 2019 01:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imezungumzia upinzani wa Marekani kuhusiana na kutumwa bidhaa za kibinaadamu kama vile madawa, chakula na vifaa vya tiba kwenda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Russia: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimefeli
Nov 08, 2019 08:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina natija yoyote na vimefeli.
-
Trump na ahadi zake bandia za kuiondolea Iran vikwazo baada ya kufanyika mazungumzo
Sep 30, 2019 12:06Baada ya kuiondoa nchi yake kwenye mapatano ya nyuklia mwezi Mei mwaka jana na kisha kuiwekea vikwazo vikali Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika miezi ya hivi karibuni Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha hamu kubwa ya kutaka kufanya mazungumzo na Iran ambapo baada ya kufanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, kulienea fununu za uwezekano wa kukutana marais wa Iran na Marekani kando ya mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Trump aagiza kuzidishwa ugaidi wa kiuchumi dhidi ya Iran
Sep 19, 2019 07:07Rais wa Marekani amemuagiza Waziri wa Fedha wa nchi hiyo kuweiwekea Iran vikwazo vikuu kufuatia kushindwa siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Marekani dhidi ya nchi hii.