-
Russia inataka kuwa mwanachama wa mfumo wa INSTEX
Jun 29, 2019 23:43Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow inataka kujiunga na mfumo maalumu wa mabadilishano ya kifedha kati ya Ulaya na Iran INSTEX kwa kifupi ili kufanya miamala yake ya kifedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Russia mjini Baku Azerbaijan
Aug 08, 2016 23:56Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamekutana na kufanya mazungumzo mjini Baku Azerbaijan na kujadiliana kuhusiana na matukio ya kieneo na kimataifa.
-
Marais wa Iran na Russia wazungumzia hali ya Syria
Feb 24, 2016 21:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, usitishaji vita nchini Syria haupaswi kuwe fursa ya kuwawezesha magaidi kujiimarisha nchini himo.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Russia mjini Tehran
Feb 22, 2016 13:11Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergey Shoigu ameitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akiwa na lengo la kupanua zaidi wigo wa ushirikiano kati ya Moscow na Tehran katika masuala ya ulinzi.