-
Usimamizi mzuri wa Iraq katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein AS
Oct 13, 2016 04:39Pamoja na kuwepo makundi hatari ya kigaidi katika maeneo mbali mbali, maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu, yalifanyika kwa mafanikio na usalama kamili nchini Iraq katika mji wa Karbala na kuhudhuriwa na mamilioni ya wafanya ziara.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa Daesh zinakaribia
Oct 04, 2016 22:55Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amewaambia watu wa mji wa Mosul kuwa zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh zinakaribia.
-
Kinara wa ISIS (Daesh) mahututi baada ya kupewa 'sumu' Iraq
Oct 03, 2016 11:32Kinara wa kundi la kitakfiri na kigaidi la ISIS (Daesh), Ibrahim al Sammarai, maarufu kama Abu Bakr al-Baghdadi, amepewa sumu akiwa pamoja na makamanda wengine wa kundi hilo katili.
-
Wakimbizi wa Iraq warejea katika makazi yao
Oct 03, 2016 10:48Malefu ya familia za wakimbizi Wairaqi zimerejea katika makazi yao hapo awali baada amani na utulivu kurejea katika baadhi ya maeneo ya Iraq.
-
Iraq yanasa magaidi waliopanga kutekeleza mashambulizi wakati wa Muharram
Oct 03, 2016 00:30Wanachama wa kundi moja la kigaidi lililokuwa limepanga kufanya mashambulizi ya kigaidi katika mwezi wa Muharram wamekamatwa magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Katibu Mkuu wa Muqawama Iraq: Syria ni mstari wa mbele wa mapambano dhidi ya magaidi matakfiri
Sep 18, 2016 23:45Katibu Mkuu wa Muqawama wa Kiislamu wa Nujabaul-Iraq, amesema kuwa Syria ni mstari wa mbele wa muqawama dhidi ya makundi ya ukufurishaji.
-
Magaidi 100 wa Daesh wauawa katika mashambulio ya anga nchini Iraq
Sep 10, 2016 09:34Wanachama wasiopungua 100 wa kundi la kigaidi la Daesh wameuawa nchini Iraq kufuatia mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kijeshi za nchi hiyo katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza: Makosa tuliyofanya Iraq tusije tukayarudia Syria
Sep 08, 2016 03:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Ben Johnson amesema, katika kutafuta njia mwafaka ya utatuzi wa mgogoro wa Syria inapasa kuchukua hadhari ya kutorudia makosa yaliyofanywa katika vita vya Iraq.
-
Hillary Clinton: Nasikitika sana kuunga mkono hujuma za US dhidi ya Iraq
Sep 08, 2016 09:34Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani nchini Marekani, Hillary Clinton ameonyesha masikitiko yake juu ya kile alichosema ni kuunga kwake mkono hujuma za nchi yake dhidi ya Iraq hapo mwaka 2003.
-
Safari ya kutia shaka ya ujumbe wa Marekani nchini Iraq
Sep 04, 2016 23:54Kanali ya televisheni ya al-Ittijah ya Iraq imeripoti habari ya safari ya ujumbe wa Marekani mjini Baghdad siku chache tu baada ya kuarifishwa balozi mpya wa nchi hiyo huko Iraq.