-
Mahusiano ya Saudia na Iraq baada ya kutimuliwa Thamer Al-Sabhan, balozi mchochezi wa Saudia
Aug 30, 2016 02:48Kufuatia matamshi ya uchochezi na uingiliaji wa mambo ya ndani unaofanywa na balozi wa Saudia nchini Iraq, Thamer Al-Sabhan, serikali ya Baghdad imeiandikia barua rasmi Riyadh kuitaka kumchagua mtu mwingine atakayechukua nafasi ya balozi huyo.
-
Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya
Aug 18, 2016 22:21Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kukomboa kisiwa cha Khalidiya, kilichopo mashariki mwa mji wa Ramadi, magharibi mwa mkoa wa Anbar.
-
Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh
Aug 11, 2016 03:27Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump amesema kuwa, Rais Barack Obama na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo Hillary Clinton ndio walioanzisha kundi la kigaidi la Daesh.
-
Waziri Mkuu wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada wa washauri wa kijeshi
Aug 10, 2016 23:19Waziri Mkuu wa Iraq ameishukuru Iran kwa uungaji mkono wa washauri wake wa kijeshi kwa vikosi vya nchi hiyo na kueleza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran wapo Iraq kufuatia ombi la serikali ya Iraq.
-
Spika wa bunge la Iraq azuiwa kutoka nje ya nchi
Aug 02, 2016 11:13Waziri Mkuu wa Iraq amemzuia Spika wa bunge la nchi hiyo kutoka nje ya nchi.
-
Shambulizi jingine la bomu Iraq, makumi wauawa
Jul 25, 2016 03:26Kwa akali watu 18 wameuawa na wengine 23 kujeruhiwa katika hujuma nyingine ya kigaidi mashariki mwa Iraq, siku moja baada ya shambulizi jingine la bomu kuua na kujeruhi makumi ya watu katika mji mkuu Baghdad.
-
30 wauwa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Baghdad, Iraq
Jul 24, 2016 03:19Kwa akali watu 10 wamethibitishwa kupoteza maisha na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea mapema leo katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Muqtada Sadr atahadharisha juu ya kutumwa askari wa US, Iraq
Jul 18, 2016 03:14Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq ameitahadharisha Marekani dhidi ya kutuma askari wake zaidi nchini humo kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
'Waziri wa Vita' wa ISIS athibitishwa kuangamizwa
Jul 14, 2016 02:03Kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limethibitisha kuangamizwa kamanda wake wa ngazi za juu, Omar al-Shishani, ambaye inasemekana aliuawa mwezi Machi.
-
Rais wa Iraq apasisha hukumu ya kifo dhidi ya magaidi wa Daesh
Jul 13, 2016 23:40Rais Fuad Masum wa Iraq amepasisha hukumu ya kifo dhidi ya idadi kadhaa ya magaidi nchini humo.